Power Supply : hp dX2000 and d230 MT

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Wakuu,

Naomba kama kuna mdau anaweza kunijuvya ni wapi naweza kupata power supply kwa ajili ya tarakilishi yangu ya hp dX2000 na hp d230MT. Nimeulizia hapa jijini Dar kwa ma-dealer wa hp lakini sijapata.

Msaada tafadhali.

BE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom