Job search

mapesaK

Member
Jun 22, 2009
6
0
Hello!..
I am a Tanzanian girl looking for a job in any company or organization..
Please help me to find one based in this themes; customer services, Public relations officer, information officer, teller, Radio presenter or any position which will be suitable for me. I have a degree ni Mass communication.
 
Komaa tu utapata, Na Umuombe Sana Mungu. Wenzako tuna mwaka nyumbani sasa na degree zetu hamna cha kazi wala nini. Ila bado tuna matumaini ya kupata kazi kwa sababu Mungu yu pamoja nasi. Husichoke ndugu yangu mpenzi
 
aah ndio sababu kazi bado mgogoro......
 
Radar Backlays House utamkuta kaka mmoja anaitwa STEVE na dada anaitwa Catherine ni wakarimu sana and very Friendly. Kawaone they can help U in advance.
Mungu akutangulie.
 
Last edited:
Radar Backlays House utamkuta kaka mmoja anaitwa STEVE na dada anaitwa Catherine ni wakarimu sana and very Friendly. Kawaone they can help U in advance.
Mungu akutangulie.

Ameni!
Asante sana.....Niwapelekee CV yangu tu au niambatanishe na vyeti vyote?.
 
Kwa Radar peleka tu CV inatosha then watakuunganisha na makampuni mbalimbali kulingana na CV yako. Nitumie PM nitakusaidia zaidi MapesaK, otherwise all the best in your job search.
 
Hello!..
I am a Tanzanian girl looking for a job in any company or organization..
Please help me to find one based in this themes; customer services, Public relations officer, information officer, teller, Radio presenter or any position which will be suitable for me. I have a degree ni Mass communication.

Tenga pesa kiasi cha 100,000/= hivi uzitumie kuandika maombi ya kazi sehemu zote ambayo unahisi ujuzi wako utatumika. Tumia Telephone Directory kupata hayo makampuni na mashirika.
 
1 thing unapooenda Radar jiandae kabisa unaweza ukapewa Aplitude test papo hapo na ukapigwa interview hapo hapo nakushauri uende ukiwa tayari kwa lolote but trust those guys are vry friendly ukiwa mkali, unajiamini they won't leave U. kama vacancy hakuna na umefanya vzr they will call U siku vya cancy zikitokea.
Mungu akutangulie ktk hilo.
ALL THE bEST
 
ushauri wote uliopewa hapo juu unafaa lakini pia jitahidi na kutembelea magazeti hasa the guardian na Daily news. nilikua nadharau sana zamani nikiona nafasi za kazi kwenye magazeti nilikua najua kua wanazuga tu kwani mtu anakua tayari ameishapatikana lakini sio nafasi zzote zipo hivyo unaweza kubahatisha. mimi mwenyewe nilikua huku bara lakini nimepata kazi tena hapa hapa DSM kwa kuandika barua kupitia kwenye magazeti kutoka bara na sikuwahi kufika Dsm ila nimefika wakati wa interview na kuanza kazi
 
Hivi wana jami forums naomba kuuliza swali dogo tu. Hii nchi yetu ina nuksi au? Inakuwaje mwanfunzi wa chuo kikuu anamaliza masomo halafu anasota mtaani? Au unakuta anafanya kazi sehemu ambayo haihusiani na alichosomea? Eti mtu kasomea mambo ya utalii na wanyamapori then utamkuta anafundisha. Halafu cha kushangaza basi, wanasema hakuna wafanyakazi wa hifadhi ya wanyamapori?
Hii nchi, duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom