Natafuta kazi popote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi popote

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Thabit Mussa, Jul 20, 2009.

 1. T

  Thabit Mussa New Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ndugu zangu,natafuta kazi accountant any place any time
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,820
  Likes Received: 2,534
  Trophy Points: 280
  Mbona hujasema umemaliza hadi level, gani?experience tume CV kabisa hapa watu wakupe kazi wewe acha kutoa taarifa zisszojitosheleza.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Oh!!!! You cannot be that general man!!!!! Na ndiyo maana tunakosa kazi hasa unapoitwa kwenye interview ni vema pia kuwa specific!!!! Drop yor qualifications here and areas of preference or competence.
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu hata jinsia ni muhimu kui-declare hapa kabisa si unajua tusije kukudirect sehemu kumbe wanataka ladies only,
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huyu ni male!
   
 6. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  cheki magazeti ya majira na mwananchi jana kuna kazi za NIC kibao
   
 7. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,820
  Likes Received: 2,534
  Trophy Points: 280

  Mkuu unaweza ukaziweka huku hizo nafasi aiseeee
   
 8. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Jamani muwe na staha kidogo hiki kipindi ni kigumu sana, vyuo kibao vimetema, UDSM, MZUMBE, IFM, etc. watu wanataka kazi kweli hasa ukizingatia kuwa ameandika jina lake halisi (Not sure lakini). Mkuu Thabiti najua umejiunga hapa mahususi kwa lengo la kutafuta kazi, na huenda hata pesa ya kuingilia internet cafe ikawa mgogoro, ila usichoke usikate tamaa, andaa CV yako vizuri ili uweze kuvutia interest ya waajiri. Usiwe too general ACCOUNTANT una CPA?, B.Com Acc?, BAF?, Adv Dip in Acc?, Atec 1 or 2?. Fanyia kazi haya mambo utapata kazi tu.
   
 9. M

  Maquiseone Member

  #9
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Vpi ktk serikali za mitaa uko tayari?
  Manake wengine wanawagwaya madiwani
   
 10. M

  Maquiseone Member

  #10
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yeah hata sunday news leo imetoa kwa kifu[pi za wiki nzima na hizo za NIC.

  Pia waone radar recuitment - Backlays house pale
   
Loading...