Anatafuta kazi za Processing (Mineral, Oil & gas field)

Maquiseone

Member
Feb 24, 2008
40
1
Hey wajamvini,

Kuna kifaa kinatafuta kazi ktk plants za mining au Oil & Gas field. nje au ndani. Au recuitments au agents ambao ni trusted worldwide atawalipa ili wamfanyie kazi hiyo.

Foward details kwa e-mail address hii - ahsmaqu@yahoo.co.uk.

Thanx in advance.
 
Hata Plants nyingine za kuprocess bidhaa but mordern kiasi is more favourable
 
ngoja nikaperuzi home nikupe za agent wa mexico,huko kuna tufani la kufa mtu,au nenda ktk migodi ya Uranium huko Songea,hujaipata bado?

Mtafute Manundu akuunganishie Congo,sasa hivi unaruka.
 
Malila, jamaa kaangalia na kuona kuwa intetion yake kwa sasa ni kuwa trainer wa processing activities ktk gas & oil field au mineral processing field. Maana ktk mineral anaifahaamu vema CIL na Floatation vema sana na huku anaijua field yako ya Gas & oil processing vema sana.

So ameonelea kama aingie ktk fani ya on job trainer (Practical way of training) sijui niiteje ili unielewe au wanielewe hapa jamvini.
 
Je mtambo wa bia kule Mbeya haukufai mkubwa? Mwezi october tunaanza kuprocess maji ya dhahabu pale Songwe. Je uislam utauacha.

Muulize Mudhihiri mtambo wa cement vipi?
 
Yuma contact ya manundu kwa e-mail yangu. Tufaniu kwa sisi ni kama kawa Mzeee
Mtambo wa Cement si umesikia kuwa ni "Mdimu" nia kasnake fulani huku kwetu
Nipe hiyto ya dhaabu mzee
 
Tuma sio Yuna
 
Malila, jamaa kaangalia na kuona kuwa intetion yake kwa sasa ni kuwa trainer wa processing activities ktk gas & oil field au mineral processing field. Maana ktk mineral anaifahaamu vema CIL na Floatation vema sana na huku anaijua field yako ya Gas & oil processing vema sana.

So ameonelea kama aingie ktk fani ya on job trainer (Practical way of training) sijui niiteje ili unielewe au wanielewe hapa jamvini.

Ok sasa nimekupata mkuu,kuna frendo mmoja alikuwa na dili hizo zamani,nitamuulizia,na yeye alikuwa mtu wa process na sasa ni trainer fulani hivi.
 
Cool,
Si unajua unaweza weka ka instute kako ka kuwapa wabongo tuknowlege maana jamaa wanatoa too shallow ili waje wa kwao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom