uOMBAJI WA KAZI

Ummylard

Member
Jul 19, 2011
30
2
Hivi jamani sisi tunaomba kazi kupitia email adress CV zetu zinasomwa kweli au? Cz tangu nimeanza andika hizo email zinafika elfu moja but no any response.
 
andika kwa mkono ndugu email unachakachua
Wapo wametoa condition ya electronic mail pekee, hakuna physical address waliyoweka, nami pia nina mashaka na hii, na baada ya kuwa nimeelekezwa physical add ya taasisi moja ya masuala ya afya huko mikocheni nilienda na kuuliza hilo swali hapo juu, wakasema huwa wanazisoma sema zinakuwa nyingi sana
 
bado tuko nyuma katika maswara ya digital
email uwa zinachukuliwa kwa uzito mdogo, aliyetuma (is not real)
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Naunga mkono hoja mkuu, kuna kazi zilitangazwa na na barua ikawa zipelekwe kwa anuani hii 'taswarecruitment@gmail.com, anuani hii haipatikani na hata ile ya barrick goldmine iliyohusu carrer development nayo nilijaribu kutuma lakini ina bounce, kwa hapa nasema uko sahihi na ni bora kutumia physical address
 
mkuu na mimi kuna email nyingine ya barrick ukituma inabounce siku moja nilipatwa na janga hilo baada ya kutaka kutuma end of deadline ndo nikakuta email haifanyi kazi.

HR zetu hazijawa well developed interms of IT maana wengi wanaoenda pale IT yao Zero
hawezi kumonitor recruitment through IT, ndo mana nikasema bado tuko nyuma katika maswala ya digital
 
There u are...!
 
Zinasomwa jamani japo si zote,kuomba mungu tu ingawa kuna mambo ya kujuana kiaina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom