Interview UDOM

Mfwalamanyambi

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
433
102
Leo nimepigiwa simu kuhudhuria interview tarehe 18/7/2011 pale CHAS_UDOM.
Kwa hiyo wengine mlioomba kazi pale jaribuni kufuatilia kama mmekuwa shortlisted.
 
hongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.
Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!
 
Mkuu uliomba nafasi gani? Maana mie naona kimya na simu zangu zote ziko full charged na network inasoma 100% sasa nijue kama ndo nimekosa au wameita kivitengo.
 
boss,mm niliomba TA cjui mfwalamba aliomba post gan! Labda atuambie tujue kama ndio tumeliwa
 
Niliomba TA kwenye College of Health and Allied Sciences (CHAS)_UDOM. Inawezekana wanaita kwa College kama uliomba kwenye college tofauti na hiyo (CHAS)
 
hongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!
mkuu mentor vipi sasa kuhusu contact za wazalendo sec school? Ningepata namba ya mhusika niongee nae anipatie nafas ya kufundisha mkuu,nipo kwenye shule ya kata kijijin kwa sasa,na hawalip ki2 wanasema wazazi hawana pesa
 
Haiya..i had forgotten kaka!
Nipe tu leo please kesho nikupe namba ya Mkuu wa chuo Dr. Mbasha..
but nadhani ungeandika barua kabisa.
 
Haiya..i had forgotten kaka! Nipe tu leo please kesho nikupe namba ya Mkuu wa chuo Dr. Mbasha..but nadhani ungeandika barua kabisa.
sawa mentor nitashukuru,nitaandaa barua kabisa leo,nitashukuru sana mkuu
 
Ndugu zangu nimeshadhibitisha kuwa kuna baadhi ya watu wameita kwenye interview na wanaita kulingana na department kwani mpaka sasa department of history ndio imeanza kuita watu kwa ajili ya interview sasa hivi naelekeya utawala nitawajulisha kwa taarifa zaidi baadaye
 
Mkuu uliomba nafasi gani? Maana mie naona kimya na simu zangu zote ziko full charged na network inasoma 100% sasa nijue kama ndo nimekosa au wameita kivitengo.
Utakuwa hukubaatika mkuu!!pole sana!
 
Utakuwa hukubaatika mkuu!!pole sana!

Mkuu mbona unakatisha watu tamaa sana! Ina maana wameianza kuita katka college zote au Una maana gani? Kama una habari za uhakika ni vema uziweke hadharani kuliko kuturusha roho namna hii. We unataka Mbufu akija kusoma hii comment yako azimie au una maana gani? Sisi tumeomba job bana na bado tuna imani tutaitwa unless wawe na watu wao kabisaaa vinginevyo lazima kieleweke!
 
Ndugu zangu nimeshadhibitisha kuwa kuna baadhi ya watu wameita kwenye interview na wanaita kulingana na department kwani mpaka sasa department of history ndio imeanza kuita watu kwa ajili ya interview sasa hivi naelekeya utawala nitawajulisha kwa taarifa zaidi baadaye

Mkuuu nakuaminia sana,

Hayo ndio mambo tunayoyahitaji sisi vijana, maana huku mtaani ni noma ! Hapa tumekaa attention kusubiri good news kutoka kwako kiongozi! Pia tufahamishe vipi kule college ya Education wanatumia utaratibu gani? maana mie interest zangu ndo zimelalia huko college of Education!

Shukrani in advance mkuu!
 
Ndugu zangu nimeshadhibitisha kuwa kuna baadhi ya watu wameita kwenye interview na wanaita kulingana na department kwani mpaka sasa department of history ndio imeanza kuita watu kwa ajili ya interview sasa hivi naelekeya utawala nitawajulisha kwa taarifa zaidi baadaye
mwanangu tupe update mzee..tshapgka kitaa kwa sana
 
hongera mkuu...mimi niliambiwa nika-translate transcript yangu TCU....2bad afta that nikaambiwa muda umeisha.
Kailiendeleza libeneke la elimu mkuu...pamoja tuijenge nchi, wherever we are...!!!

Mkuu Mentor hebu niPM......
 
Hongera kaka mi naona kimnya sa sijui nafanyaje?
sasa hawa jamaa ila big up fanya hivyo kaka
 
Mkuu mbona unakatisha watu tamaa sana! Ina maana wameianza kuita katka college zote au Una maana gani? Kama una habari za uhakika ni vema uziweke hadharani kuliko kuturusha roho namna hii. We unataka Mbufu akija kusoma hii comment yako azimie au una maana gani? Sisi tumeomba job bana na bado tuna imani tutaitwa unless wawe na watu wao kabisaaa vinginevyo lazima kieleweke!
haswb Ngoswe,naona anataka kunizimisha roho huyu,looh! Lakin matumain yanapotea muda unavyozid kwenda,ebu lulungeni tuhabarishe tunakusubiri
 
Back
Top Bottom