Natafuta scholarship ya PhD Kwa chuo cha hapa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta scholarship ya PhD Kwa chuo cha hapa Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Inteprevist, Jul 20, 2011.

 1. I

  Inteprevist Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimepata admission kwa ajili ya PhD kwa chuo cha hapa ndani (Tanzania), sasa ngoma imebaki jinsi ya kupata scholarship. naomba mwenye information yeyote ya organisation inayotoa ufadhili kwa ngazi ya PhD kwa wanafunzi wanaotaka kusomea hapa Tanzania.

  Asanteni kwa ushirikiano wenu
   
 2. B

  Baby Lily Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingia www.twas.or pia nenda Germany embassy dar office
   
 3. I

  Inteprevist Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana baby lily. Mola akubariki
   
 4. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HESLB wanatoa mikopo kwa Shahada za Uzamili na Uzamivu kwa watanzania, lakini deadline ilikuwa tar 30 June.
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaenda kusoma Phd alafu unachanganya mambo madogo hv, unasema umepata admission sasa hyo scholarship unayotafuta ya nn? Kukuweka sawa bila shaka unahtaj SPONSORSHIP.
   
 6. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mwambie muajili wako akulipie
   
 7. M

  Malunde JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Uko sahihi kwa upande mmoja, lakini usisahau tafasiri nyingine ya scholarship is 'a sum of money awarded to a student to help with living expenses, study, or travel'. Hivyo bado Inteprevist yupo sahihi kwa hicho alikoandika
   
Loading...