Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye...
2 Reactions
3 Replies
506 Views
Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako. Ubaya ubwela.
6 Reactions
108 Replies
45K Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu, wakubwa hivi mtu ukifika hatua hii hapa kwenye kiambatanisho nilicho attach Kuna hatua Gani nyingine natakiwa kufuata?
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Naomba kuuliza wakuu, Jana idara ya uhamiaji imetangaza nafasi za ajira, ambapo moja ya maelekezo wameyotoa waombaji wanatakiwa kuweka cv , sasa naomba kuuliza je cv hiyo tuna andika kwa lugha ipi?
3 Reactions
19 Replies
834 Views
Wakuu kwema?? Naomba nilete huu uzi hapa ili tuweze kupeana hints za hii job Ukwl kwamba hii job imechukua watu wa fani tufauti tofauti kupiga hii interview Naijiuliza ili uweze kudufua hii job...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5. Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Jamni wadau mwenye fununu au anae jua nafasi za JESHI la uhamiaji na POLISI MAGEREZA ZINATOKA lini tunaomba atujuze ili tujiandae jamani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wadogo zenu tumeitwa usahili wa uhamiaji tunaomba mwongozo muliowai kupita au mupo kweny taasisi ya uhamiaji
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza...
1 Reactions
0 Replies
462 Views
Anahitajika kijana wa kiume au wa Kike. umri 20 to 25 yrs Eneo la kazi : Arusha Elimu: degree ya masoko au sheria hakuna uzoefu unaohitajika. Mawasiliano: 0782396666
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi. Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri...
27 Reactions
107 Replies
6K Views
MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 23 Jina ni Rajab Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo. Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini...
4 Reactions
2 Replies
456 Views
Anonymous
Kuna programme mpya zinaanzishwa vyuoni hasa vyuo vikuu lakini hazijulikani kwa waajiri. Programme hizi zinaweza kuwa zinampa vigezo mtu aliyechukua hizo programme lakini anashindwa kupata kazi...
0 Reactions
8 Replies
748 Views
Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom