Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
1/10/2024
VACANCY ANNOUCEMENT
WAJA HOSPITAL; is a private hospital located in Bombambili area 5km from Geita town along Mwanza road. The hospital was established in 2014 with registration number...
Natafuta wadada na wakaka wachapa kazi kwa ajiri ya kuuza juice mabibo sokoni.... Awe karibu na eneo ili asitumie nauli kubwa.
Mawasiliano: 0686263327 , 0678747553
Note: wawe wachapakazi na...
Habari humu ndani.
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na wanaojua maswali yanayoulizwa kwenye interview za AJIRA MSF.
Shirika hili kwa pale Liwale linajishughulisha na mradi wa Afya ya Mama na...
Dear Jamii Forum Community,
I hope this message finds you well. I am writing to share my story and seek support or guidance in my job search.
A few years ago, I had to put my education on hold...
WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS
Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi
NIANZE NA MIMI
Huu mwezi wa pili tangia...
Habari zenu kwa mara nyingine tena ndugu zangu wa JamiiForums wote mko salama salimini.
Naitwa bina nina
Miakai: 29
Elimu: 7
Jinsia: Mwanaume
Natafuta kazi ya kusimamia shamba, kiwanja au...
Habari wana JF,
Naomba kujua kama kuna mtu alieomba nafasi za DSS Nmb akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude test. Na pia kama kuna mtu alishawai kufanya aptitude test za nmb atusaidie muongozo.
Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.
Je serikali inafahusika ina maelezo...
Wimbi la vijana siku hizi kukosa ajira ni kubwa sana
Kuna kijana yupo hapa nyumbani ni anahitaji kibarua chochote amemaliza chuo juzi kati kada ya ugavi na ununuzi ngazi ya diploma yupo tayari...
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha...
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko.
Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje...
Kwa wahititimu wote wa ualimu waliopewa mkopo asilimia 100 nashauri wangepewa nafasi ya kwanza pindi ajira zinapotangazwa kwani hii itaisadia serikali Kwa kiasi kikubwa kuanza kurejesha pesa zao...
Habari wadau,
Kwanza nianze kwa kutafakari kwanini shule za serikali haziongozi kwenye matokeo, kubali kataa sababu ni hizi.
1. Miundombinu na vifaa vya kufundishia.
2. Ufuatiliaji wa wanafunzi...
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu...
Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
Chini ya Umri wa miaka 25
Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
Awe...
Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Kazi masaa 8 kwa siku, malipo 25,000/- kwa siku
ZINGATIA
*Uwe smart katika kazi
*Unaezingatia vipimo katika kukata na kuunda sababu vifaa tuvyounda hata mm 1 ikikosewa inaweza kipelekea hasara...
Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.