Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a...
0 Reactions
2 Replies
737 Views
Habari viongozi, mimi nimemliza chuo nimesoma data analysis, nilikiwa na uliza. Bodi ya sukari huwa inatoa internship
1 Reactions
2 Replies
517 Views
Habari zenu humu Wana jf , naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana...
2 Reactions
3 Replies
483 Views
Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na...
0 Reactions
7 Replies
689 Views
Wakuu habari zenu Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
habari wakuu Kati ya hizi proffesion nani anapokea pesa ndefu kuzidi mwenzie??? Naomba usaidizi tafadhari,kujua uelekeo ni njia sahihi ktk kufanya maamuzi Hii nchi ni tajiri
2 Reactions
58 Replies
24K Views
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu. Kwenye maswala ya ajira nimeajiriwa na nafanya kazi za mauzo na masoko kwa miaka 6 sasa. Katika kazi zangu, nimejikuta nikivutiwa sana na maafisa...
0 Reactions
7 Replies
884 Views
Habari wakuu. Kuna jambo nataka kufanya kuhusu lugha ya kichaga. Naomba kama humu jamvini kuna mwalimu wa sarufi ya Kiswahili na Kiingereza kwa ngazi ya kidato cha nne tuwasiliane tuone...
4 Reactions
19 Replies
938 Views
Habari za wakati huu... Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya...
25 Reactions
42 Replies
3K Views
HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana...
4 Reactions
9 Replies
824 Views
HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil zamani sasa Lake Energies, inafukuza wafanyakazi wake kiholela bila kufuata sheria za kazi. Mtumishi anaondolewa kazini bila kupewa barua yoyote ile wala kulipwa...
2 Reactions
7 Replies
961 Views
Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Anahitajika Mwalimu wa muda " part-time" mwenye uzoefu Video production, Video graphic, Graphic design na Electronic media, mwanafunzi anaishi Dar es salaam, asanteni.
2 Reactions
5 Replies
685 Views
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga...
5 Reactions
13 Replies
934 Views
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la...
1 Reactions
12 Replies
966 Views
Benjamin Mkapa Hospital is established under the Government Notice No.453 of 2015 which was gazetted by the government on 16th October, 2015 after its inauguration on 13th October, 2015. The...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za weekend wadau, Leo naomba nitoe ushauri kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza na wanaotarajia kumaliza astashahada, stashahada, na shahada kuhusiana na mfumo wa ajira...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom