Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu mimi ni mgeni katika masuala ya ajira. Nimegraduate mwaka huu pale UDSM, na nimepata kazi wiki mbili zilizopita katika kampun moja pale Posta. Hawa jamaa wanataka nifike kazin saa moja...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Elimu: shahada ya uuguzi. Umri: 31 Jinsia: Me Location: Dar es salaam Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu. Niko full licenced. Mawasiliano yangu. 0694029955 / 0718605934...
3 Reactions
2 Replies
460 Views
Wale grauate waliyoomba kujiunga na jeshi la polisi angalieni majina yenu kwenye tovuti ya jeshi la polisi, kila la kheri!
0 Reactions
45 Replies
21K Views
Habari jukwaa, kama kichwa kinavyojieleza naomba mwenye sample ya barua tajwa hapo juu anisaidie. Good morning.
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Mbeya University of Science and Technology (MUST) is seeking qualified candidates for various academic positions. Below are the available job postings: Post: Assistant Lecturer – Health...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Naomba kujuzwa tafadhari mshahara wa CCR vodacom(erolink) na CCR airtel (Ison)
2 Reactions
87 Replies
51K Views
Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6. Expertise zangu Radio access network...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya...
2 Reactions
10 Replies
794 Views
Hello drivers!!! Mlioko mkoa wa Ruvuma naombeni connection za kazi ya mashirika binafsi, nina uzoefu wa kazi kwa miaka mitano, nina leseni,cheti cha form four in short CV yangu ina kila kitu (sifa...
4 Reactions
5 Replies
790 Views
Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini. Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography). Sasa wakuu Katika harakati za...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service...
2 Reactions
1 Replies
723 Views
Natafuta kazi ya Uhasibu mahali au mkoa wowote Nimemaliza Shahada ya Uhasibu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Na kwa sasa nipo Mbeya. Mawasiliano: 0672876887, 0627456863
0 Reactions
0 Replies
334 Views
JOB Advert (Finance & Admin./HR Coordinator – AIRD Tanzania Program) The African Initiatives for Relief and Development (AIRD) is a non-political, non-governmental organization that does not...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Finance Assistant, Vitamin A Supplementation Program Job title : Finance Assistant, Vitamin A Supplementation Program Location : Any country where Helen Keller Intl operates Supervisor : Senior...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Job vacancy: Project communication officer (EU) World Wide Fund for Nature (WWF) is an international conservation NGO with a mission to stop the degradation of the planet’s natural environment...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Job vacancy: Senior project lead MACP4 Job Summary WWF Tanzania is seeking a highly experienced, competent, and motivated Senior Project Lead for a coastal and marine project supported by WWF US...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing...
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Shab Financial services Express inatafuta Afisa mikopo aliyeko Arusha. Awe amesoma sheria, masoko ngazi ya degree. atakayekuwa tayari apige simu namba +255 272976666 kwa maelezo zaidi.
2 Reactions
0 Replies
372 Views
Back
Top Bottom