Natafuta kazi katika Field ya GIS au Mazingira

Mathew Kiluma

New Member
Nov 2, 2021
2
3
Mimi ni kijana na mkazi wa Arusha mjini kwa Sasa, nimuhitimu wa shahada ya geography na mazingira 2018, Nina uzoefu wa kufanya kazi kama GIS Analyst kwa miaka karibuni 5, mbali na Hilo Nina ujuzi/skills za EIA, M&E na research. Naomba mwenye connection ya kazi akaribie nipo tayari pia kufanyiwa interview muda wowote kwa Sasa. Ahsante

Email: mathayolugonga@gmail.com
Simu: +255763220776
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom