Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari zenu wapendwa, Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote! Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu Nahitaji dada wa kazi, eneo la kazi ni Dar es Salaam, mshahara 60k. Aliye tayari naomba tuwasiliane, au kama unafahamu mtu anaye hitaji kazi naomba pia unisaidie.
0 Reactions
5 Replies
625 Views
Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana...
3 Reactions
48 Replies
13K Views
Wakuu kama huwezi sema hapa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshahara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya UHAMIAJI akijiunga kwa elimu hizi; 1. Form six. 2. Shahada...
7 Reactions
131 Replies
74K Views
Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great...
5 Reactions
9 Replies
793 Views
Nimeiiba sehemu..... Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba...
13 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi maana ya hii ni nini? Kustaafishwa kwa maslahi ya utumishi wa umma??
1 Reactions
0 Replies
463 Views
The Human Resources Office of Daqing Oilfield Constructions Group Company Limited (DOCG) informs all Tanzanians with the following qualifications and who are ready to work at the Marine Tanks &...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Are you looking for a fulfilling career opportunity with a globally recognized organization? The U.S. Embassy in Tanzania is currently hiring qualified individuals for a variety of positions. Join...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
BRAC TANZANIA FINANCE LIMITED (BTFL) is the largest Microfinance organization in Tanzania with a mission to responsibly provide a range of financial services to people at the bottom...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
NATIONAL SALES MANAGER Mbeya Cement Company Limited a member of Amsons group is a leading manufacturing company providing innovative and sustainable building and construction solutions within and...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Habarin wadau wa JF Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk. Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau...
0 Reactions
14 Replies
768 Views
Habari za leo, swali kwa ufupi tu kwa wazoefu au hata kwa ulivyoona Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje maana kuna mtu anatafuta vijana wa3 kufanya kazi hiyo Naombeni ufafanuzi hapa ikoje
3 Reactions
5 Replies
505 Views
Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha...
102 Reactions
83 Replies
8K Views
Haya vijana achanenini na bakabaka ilo lishaenda pambaneni na uhamiaji sasa hawa hapa tembelea tovuti yao
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu . Graduates wengi wana...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITY FOR THE YEAR 2015/2016 The Higher Education Students` Loans Board (HESLB); was established under the Act No. 09 of 2004 (as amended) and started operations in July, 2005...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu...
1 Reactions
5 Replies
638 Views
Natumai mko wazima. Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
0 Reactions
3 Replies
379 Views
Back
Top Bottom