Interview Exim Bank

Interview Exim Bank

TATIANA

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
4,695
Reaction score
2,449
wakuu,

nimeitwa kwenye interview Exim bank kwa position ya Customer Care officer naomba mtu mwenye uzoefu anisaidie.. interview ni kesho asubuhi saa nne..

asanteni
 
Njoo tu umejiandaa mi nitakuwepo kwenye interview pannel. staki unijue na staki uni PM. Na staki offer yako yoyote. ila jiandae tu katika area hiyo. karibu sana.
 
Njoo tu umejiandaa mi nitakuwepo kwenye interview pannel. staki unijue na staki uni PM. Na staki offer yako yoyote. ila jiandae tu katika area hiyo. karibu sana.

asante Kibagata..hata mi pia sitaki nikufahamu maana itanishushia confidence yangu.. ninachotaka kujua huwa inakuaje types of questions,panel etc,, ndo mara ya kwanza kufanya interview ya post kama hii.
 
Last edited by a moderator:
TATIANA Hongera sana kwa kupata hiyo nafasi ya kuwa Interviewed. Sijaelewa ni uzoefu wa namna gani unahitaji ila nikupe tips tu hizi ambazo naamini unazijua ila nafanya kuku kumbusha.

- Hakikisha umewahi mahala pa interview ili uwe relaxed na kusoma mazingira ya pale. Huwa ina saidia kuku calm na kukuanda kwa interview.
- Hakikisha unajua walau kiasi kikubwa kuhusiana na Exim Bank na services ambazo huwa wana provide.
- Sababu unajuwa kuwa nafasi ni customer care, walau ujue what customer care entails katika bank.
- Usi complicate mambo kwa kujifanya mjuaji sana, ukiulizwa swali jibu as brief and clear as possible. Tabia ya kutaka kuongeza maelezo marefu inaweza haribu ama kujenga.
- Kuwa confident kuwa you are the right person kwa ajili ya hio position.

La ziada naamini umepitia common/frequent asked questions za interviews just in case.

Nakutakia kila la kheri wewe na Kibagata Mwenyezi Mungu awajaalie mpate hizo nafasi. Pamoja saana...
 
Last edited by a moderator:
wakuu,

nimeitwa kwenye interview Exim bank kwa position ya Customer Care officer naomba mtu mwenye uzoefu anisaidie.. interview ni kesho asubuhi saa nne..

asanteni

102333_124x93.jpg
[h=2]Last-Minute Interview Preparation[/h]By Doug Hardy, Monster Staff Writer
Adapted from Monster Careers: Interviewing
Even if you have less than a day before your job interview, you can outshine the competition with a little interview preparation. The following four tasks will take you about four hours (plus five minutes) to complete, and you'll walk into the interview confident you'll be successful.
Conduct Basic Interview Research
To prepare for an interview, find out as much as you can beforehand. Call the person who scheduled your interview and ask:

  • Who will you be talking to? Will you meet the manager you'd work for, or will you just talk to HR? What are the interviewer's expectations?
  • What's the dress code? Dress better than suggested. Most times, it's best to wear a professional suit. You'd be amazed how many candidates show up looking like they're going to class, not presenting a professional demeanor.
  • Get directions to the office. Plan to leave early. Keep a phone number to call if you get stuck on the bus or in traffic. If you arrive late and stressed, the interview will not go well.
  • If you don't have a detailed job description, ask for one.
That's a five-minute phone call.
Learn About the Company Online
Do some fast Web research, which will give you something to talk about in addition to the job description. Go to the employer's Web site, or search the Web for information such as:

  • How big is the company in terms of annual sales or employees?
  • What does the company say about its products or services?
  • What recent news (such as a new product, a press release, an interview with the CEO) can you discuss?
  • If the company is public, the boilerplate at the bottom of its press releases will tell you a lot.
Basic research should take you about an hour.
Think of Some Stories
Be ready to answer typical interview questions with a story about yourself. To prepare, write down and memorize three achievement stories. Tell about times you've really felt proud of an achievement at work or school. These stories demonstrate all those hard-to-measure qualities like judgment, initiative, teamwork or leadership. Wherever possible, quantify what you've done, e.g., "increased sales by 20 percent," "cut customer call waiting time in half," "streamlined delivery so that most customers had their job done in two days."
By the way, nonwork achievement stories are good too; if you volunteer for the local food pantry, write down a time you overcame a big challenge or a crisis there.
Achievement stories make you memorable, which is what you want. There's an exercise in Monster Careers: Interviewing called "Mastering the Freestyle Interview," which helps you develop these stories into compelling sales points.
Take the time you need -- at least three hours on this task.
Pick Your Outfit, and Go to Bed Early
Lay out your interview outfit the night before, get a good night's rest, and always get an early start. The last thing you want is to waste all of your interview preparation by arriving flustered and panicked because you couldn't find a parking space.
 
TATIANA Hongera sana kwa kupata hiyo nafasi ya kuwa Interviewed. Sijaelewa ni uzoefu wa namna gani unahitaji ila nikupe tips tu hizi ambazo naamini unazijua ila nafanya kuku kumbusha.

- Hakikisha umewahi mahala pa interview ili uwe relaxed na kusoma mazingira ya pale. Huwa ina saidia kuku calm na kukuanda kwa interview.
- Hakikisha unajua walau kiasi kikubwa kuhusiana na Exim Bank na services ambazo huwa wana provide.
- Sababu unajuwa kuwa nafasi ni customer care, walau ujue what customer care entails katika bank.
- Usi complicate mambo kwa kujifanya mjuaji sana, ukiulizwa swali jibu as brief and clear as possible. Tabia ya kutaka kuongeza maelezo marefu inaweza haribu ama kujenga.
- Kuwa confident kuwa you are the right person kwa ajili ya hio position.

La ziada naamini umepitia common/frequent asked questions za interviews just in case.

Nakutakia kila la kheri wewe na Kibagata Mwenyezi Mungu awajaalie mpate hizo nafasi. Pamoja saana...
AshaDii asante sana Mungu akubariki. nitafuata ushauri wako ipasavyo maana nahitaji sana kazi.. nipo napitia website yao ili nijue huduma na products walizonazo..

nitawapa feedback kujua nini kinaendelea na baada ya hapo utaona status yangu ya JF ID itabadilika kama nikifanikiwa.. hahaahaha
 
Wengi wakitoa habari kama hizi hatupati feedback... Please feedback will be appreciated, naomba tu Mungu iwe feedback nzuri. Ila haya mambo inatakiwa kuwa makini... Chukulia tu kuwa kesho unajaribu BUT Usiweke akili yako yote hapo kuwa sasa ndio unapata kazi.

Nenda taratibu, huku bado ukitafuta kwingine. Na ofcoz status inapendeza uki upgrade... Lol. Na ni msaada mkubwa pia kwa JF.

Kaka RAJ PATEL JR hapo juu... Long time mkuu. Regards to you..
 
sawa sawa kabisa. by the way kwa sasa nina kazi but sio ya kivile nafanya tu huku nakodolea macho zingine.. yote nitayanzingatia mamii..

thx once again AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nitoe experience yangu. Huwa tumezoea kujiandaa na mambo mazito na kupuuza vitu vidogo vya msingi.

Binafsi juzi kati nlijiandaaaaa weee afu kufka ndani nkaulizwa vitu vigumu nkapata vidogo nkashindwa koz nlivipuuza; mfano, do u knw our mission n vision?
 
Kwani hizo nafasi huwa zinatangazwa ama ulipeleka tu CV yako pale ofisini kwao
 
Mtundu Kisu asante sana.nafanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Kwani hizo nafasi huwa zinatangazwa ama ulipeleka tu CV yako pale ofisini kwao

hapana kuna my collegue alipewa email add ns rafiki yake ndo akaniambia nami nitume ils yy anasema alisahau kutuma.

nilituma email tarehe tisa leo wamenipigia kesho niende saa nne.

thats all bornagain..
 
Last edited by a moderator:
Aise na mimi nilikuwepo kwa interview kama tatiana pale eximbank,afadhali tatiana kapewa intro kidogo,mi sikujua hata positiön ninayoitiwa mana aliyenipigia hakuniambia,na sikupita jf kumbe ningepata kitu,duh mungu saidia.
 
Haya tupe FEEDBACK interview imekuaje.

it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.

after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..

thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.
 
AshaDii. RAJ PATEL JR etc the tips yesterday.

it was not baad. nimepata kitu kipya. tumefika tukapewa magazeti.mikas glue marker pen na karatai. tukaambiwa tukate from a newspaper anything tubandike kwenye plain paper. then tuandike chochote kuhusiana na pcha.

after 25mins akaja akasema kila mtu apresent..

thats all for yday wamesema watatupigia within two weeks kama unaenda next step.
 
Last edited by a moderator:
Aise na mimi nilikuwepo kwa interview kama tatiana pale eximbank,afadhali tatiana kapewa intro kidogo,mi sikujua hata positiön ninayoitiwa mana aliyenipigia hakuniambia,na sikupita jf kumbe ningepata kitu,duh mungu saidia.

Boniface nilipewa tips za interview hizi tulizozoea. hata mimi ilikuwa mpya. tuombe Mungu tu atupiganie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom