Natafuta mtu mwenye experience kubwa ya kutengeneza apps

Natafuta mtu mwenye experience kubwa ya kutengeneza apps

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
72
Reaction score
112
Natafuta mtu mwenye experience kubwa ya kutengeneza apps, naomba nitumie samples/links za kazi zako nikiridhika nakupa kazi.
 
karibu boc app ya dse kiganjani nimeshiriki kutengeneza IPO play store and app store
 
yaani wewe uridhike au yeye aridhike kufanya kazi na wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom