Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu nimeona kazi ambazo humu sijaziona hivyo gonga mwananchi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu, Iringa WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Diodorus Kamala, amewataka wasomi nchini kujiamini na kujiandaa kufanya kazi katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
http://tanzania-un.org/dynamicdata/data/docs/kazi%20foreign%20-%2014.2.08.pdf Jamani huyu web master wahii webu mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kalala usingizi au nikotokuwa makini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
vipi wa kuu mnakumbuka zile kazi za assistant lecture?plz naombeni mnipostie tena nimesahau threard gani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi great thinkers, naombeni msaada jinsi nitakavyoweza kufika kwao makirikiri, SABABU: mi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa na degree ya sayansi ya wanyama (animal science and production), miaka...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
KaziLink.: Assistant General Manager.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu za kujiunga na mafunzo ya uhamiaji, na ni muda gani wana recruit watu wa kujiunga na jeshi hilo la police kitengo cha uhamiaji. nashukuru
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nimesoma BA(Ed) major in English language & Literature. Natafuta part time job. Mawasiliano smzengo@yahoo.com,, nipo Dodoma.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hi
Mambo vp Wanajamii?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anahitajika housegirl umri wowote. Atakaa kwa mwajiri. Awe msafi. Mshahara elf 30 kwa mwezi.
0 Reactions
102 Replies
10K Views
Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani kuna kilio cha mawakala wa pembejeo za kilimo kanda ya kaskazini. Mawakala wametoa huduma kwa wakulima tangu mwezi wa 3 cha kushangaza mpaka leo wakulima wamevuna na kula ila mawakala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi wadau, Nina biashara yangu ya kuuza computer accessories mikoani (Out of DAR) na nahitaji serious and reliable distibutor/whoseller atakayeweza kuniuzia "mzigo" kwa bei nzuri ili na mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye gazeti la daily news la jana tarehe 3/10/2011 Jmatatu anitumie contact za tangazo la kazi liloandikwa Research assistant pamoja na necessary information kama qualification na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau mliopata kazi NAO majina yenu yametoka kwenye gazeti la mwananchi la leo na kwenye mtandao wa pmoralg.go.tz.All the best
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu.Natafuta kazi ya Community Development Officer.Nina Certificate in Community Development,Diploma in Social Work and Social Administration na Degree ya Development...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…