Nataka kujiunga chadema ili nigombee ubunge 2015

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,435
Kama hata elimu uliyonayo huwezi kujua inaitwaje/inaandikwaje basi itakuwa ni tatizo hata ukipewa jukwaa uelezee nini kunachokufanya ugombee.Piga hodi kwanza jukwaani kwenye Utambulisho utajifunza mengi sana kabla ya kuomba ushauri ama kuwasilisha hoja.
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
 
pomo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
267
30
sasa hiyo masters(sijui ya kitu gani vile!) unashindwa kuitumia hata kujua uingie jukwaa gani?
sasa wagombea makini kati yako na hao waliotangulia ni nani!?
 
Adrian Stepp

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
2,623
2,224
nataka kujiunga na chadema ili kukipanua chama hiki.nimeisoma katiba ya chadema, cuf na nccr, lakini nimeona chadema ni bora zaidi.nimejaribu kuwasiliana na watu kama zitto kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea ubunge 2015 pale bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (masters)

ati nini??
 
Adrian Stepp

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
2,623
2,224
sasa hiyo masters(sijui ya kitu gani vile!) unashindwa kuitumia hata kujua uingie jukwaa gani?
sasa wagombea makini kati yako na hao waliotangulia ni nani!?ha ha ha ha sio kosa lake hata mbuyu ulianza kama mchicha
Join Date : 2nd October 2011
Posts : 2

Rep Power : 0
 
ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Ushaonesha hujielewi wewe, unabahatisha hadi mambo madogo madogo ambayo kwa elimu yako ulitakiwa uwe unayafanya kwa uhakika, inakuaje umeshindwa hata kutambua mada yako ni ya jukwaa gani...CHADEMA hapata kufaa! bt kwa ushauri...unapofungua tu homepage ya JF chini ya tangazo la airtel kuna majukwaa kwa ajili ya kila mada iliyoko kichwan mwako, sasa hii mada yako ni ya siasa nakushauri uipeleke jukwaa la siasa!
 
Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,264
537
Unapotaka kuanza safari yeyote ile kuna mawili yatakayotokea. Wa2 wanaweza wakakuunga mkono mwanzo af baadae ukifanikiwa wataanza kutafuta njia za kukurudisha nyuma. Au wakakukatisha tamaa mwanzon af baadae ukifanikiwa ndo waanze kujipendekeza kwako. Ucfe moyo wala ucjali wanaongea nin kwa sasa. Coz wengne wanaropoka 2 bila logic ilimradi waonekane wameongea. Jipange sawasawa jaribu kuwaona wa2 wa chadema ngaz ya wilaya watakuelekeza cha kufanya. Nakutakia mafanikio mema.
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,916
1,160
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)

Kweli wakati wa kumng'oa bwana mapesa umefika. Nakutakia heri. Naamini wenye contact watakupa au huko uliko tafuta ofisi za CDM ueleze hoja yako nadhani utaelekezwa; au uende huko huko Bariadi natumaini CDM watakuwa na ofisi.
 
Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,074
5,629
Elimu sio issue!! Siasa za bongo ni lazima uwe na fedha, mtandao na uongo mwingi mdomoni.
 
utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Unapotaka kuanza safari yeyote ile kuna mawili yatakayotokea. Wa2 wanaweza wakakuunga mkono mwanzo af baadae ukifanikiwa wataanza kutafuta njia za kukurudisha nyuma. Au wakakukatisha tamaa mwanzon af baadae ukifanikiwa ndo waanze kujipendekeza kwako. Ucfe moyo wala ucjali wanaongea nin kwa sasa. Coz wengne wanaropoka 2 bila logic ilimradi waonekane wameongea. Jipange sawasawa jaribu kuwaona wa2 wa chadema ngaz ya wilaya watakuelekeza cha kufanya. Nakutakia mafanikio mema.

Ushauri murua huu
 
zantel

Member
Nov 27, 2007
70
4
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
Bebe Ng'wanambula utanilwe nanani ebaryadi??, Nani amekuita??. Na kwamba unataka kugombea ubunge 2015??, sio ungekuwa na akili kwanza ya kuingia kwenye chama, ujaribu kukikulia chama, ukue kisera sio unaenda Chadema just kwa sababu 2015 unataka kugombea, hyo sio sababu na namna hyo huwezi kuwapata watu prominent kwenye chama, elimu yako ingekusaidia namna hata ya kuingia, kengele umepiga vibaya rudi pata kadi kisha sasa ufanye kazi na chama kikuelewe, kwani unazani 2010 Chadema hakikuwa na watu pale Igunga,? walikuwepo lakini bado walikuwa hawako sawia, si umeona mwenyewe hii juzi tayari sasa kuna mtu pale, rudi pata kadi kaa kwenye chama chapa kazi 2015 itakuwa njema kwako.
 
Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Nashukuru sana wana jamvi kwa ushauri wenu,lakini kuna baadhi ya wanajamvi kazi yao ni kucritisize kila hoja.Hivi ni muhimu kujua masters yangu ni ya kitu gani?hebu mwenye namba za simu za Zitto kabwe anisaidie.
Tupeane moyo badala ya kuwa wakatisha tamaa
 
Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Shida yako ni kujua hii master niliyonayo ni ya kitu gani au what is your concern?I think my area of specialization has nothing to do with politics,what is important,in my opinion,is the level of education I have.Hebu wana JF nishaurini
 
ben genious

Senior Member
Jun 4, 2011
176
23
Shida yako ni kujua hii master niliyonayo ni ya kitu gani au what is your concern?I think my area of specialization has nothing to do with politics,what is important,in my opinion,is the level of education I have.Hebu wana JF nishaurini
kwanza umeingia sehemu sio ndomana wamekuona sio wakakupotezea,pili kutokana na elimu uliyonayo umeshindwa kuelewa sehenu ya kuweka hii post?hauko sirias,tatu wewe unatakiwa uombe na ulekezwe jinsi ya kutaka kujiunga chadema sio kung'anga'na na namba ya zito, hakushauri mtu kajipange ama sivyo endelea kutumbua mimacho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom