Gardner&house boy

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama utakua unahitaj tuwasiliane kupitia no 0653957095 au email ally.saidy@yahoo.com,asanten sana!
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
71,544
143,101
Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama utakua unahitaj tuwasiliane kupitia no 0653957095 au email ally.saidy@yahoo.com,asanten sana!

unajua kupika mapishi mangapi ya kitimoto?
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
Kweli nimeamin sio kwenu tu hata kwenye mtandao wapo,asanten washkaji kwa mchango wenu kaz ni kaz mwanaume kazini nyie mliokalia viti ofisin fanyen kaz tena kwa bidii na cc wapish,magardner,wafagia barabara,walinzi na mahouse boy tuacheni,narudia tena asanten kwa mchango wenu!
 
Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
538
Kweli nimeamin sio kwenu tu hata kwenye mtandao wapo,asanten washkaji kwa mchango wenu kaz ni kaz mwanaume kazini nyie mliokalia viti ofisin fanyen kaz tena kwa bidii na cc wapish,magardner,wafagia barabara,walinzi na mahouse boy tuacheni,narudia tena asanten kwa mchango wenu!

wenye dharau na nyodo hata kwe2 wapo. Achana nae bro siajabu ye mwenyewe mfagia choo.
 
maskin

Member
Oct 27, 2010
78
27
Kweli nimeamin sio kwenu tu hata kwenye mtandao wapo,asanten washkaji kwa mchango wenu kaz ni kaz mwanaume kazini nyie mliokalia viti ofisin fanyen kaz tena kwa bidii na cc wapish,magardner,wafagia barabara,walinzi na mahouse boy tuacheni,narudia tena asanten kwa mchango wenu!

sawa mkuu ila ni gardener sio gardner kama ulivyoandika hapo juu
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
wenye dharau na nyodo hata kwe2 wapo. Achana nae bro siajabu ye mwenyewe mfagia choo.

Thanx Anita kwa mchango wako Wa mawazo! Ila mm watanzania wenzangu nitaendelea kuwashangaa sasa mtu anaficha ukweli na kujiproud haifai jaman inabid
Kuna kipind tuwe transparent zaid ili tuweze kusaidiwa,Anita Asante xana dada!
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
mbona unamshusha cheo chake? Mikela hasafishi vyoo, yeye ni mtaalam wa kuzibua vyoo, na kwa utaalam wake huo havai gloves afanyapo kazi, na anakula bila kunawa na hadhuriki[/QUOTE.
Mi sina cha kusema ila ndo hivyo jaman dharau kila mtu anayo ila c kwenye mambo Kama haya, japo umeweka utan lakin nashkur kwa mchango wako ndugu!
 
BUBE

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
847
252
Mkuu INKOSKAZ,nachelea kukupatia kazi hizo, najua nikikuacha nyumbani, NIMEUMIA TAYARI. Avatar yako, inaonesha unaweza kupiga kazi nyingine barabarani au ofisini, lakini nyumbani, lool, nachelea!
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
Mkuu INKOSKAZ,nachelea kukupatia kazi hizo, najua nikikuacha nyumbani, NIMEUMIA TAYARI. Avatar yako, inaonesha unaweza kupiga kazi nyingine barabarani au ofisini, lakini nyumbani, lool, nachelea!
Naheshim mawazo yako ndugu BUBE na upo sahihi kabisa ila Kama hiyo ya barabarani pia unayo unaweza ukanipatia, nashkur kwa fikra zako zinazoambatana na ukweli na Asante sana ndugu!
 
Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Acha hizo wewe! Naomba jumatatu njoo pale chuo kikuu ulizia meneja wa Canteen za chuo utapata kazi kuna nafasi za wahudumu pale wanalipa vizuri itakusaidia
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,124
92,361
Acha hizo wewe! Naomba jumatatu njoo pale chuo kikuu ulizia meneja wa Canteen za chuo utapata kazi kuna nafasi za wahudumu pale wanalipa vizuri itakusaidia
Chuo kikuu kipi? Havard, Oxford, Dsm, Tumaini, Sokoine, Nairobi au Cha ushirika Moshi?
 
Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,332
Acha hizo wewe! Naomba jumatatu njoo pale chuo kikuu ulizia meneja wa Canteen za chuo utapata kazi kuna nafasi za wahudumu pale wanalipa vizuri itakusaidia

Nashkuru xana kaka mungu akubariki j3 nitawah mapema xana!
 
sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Natafuta kazi Kama nilizozitaja hapo juu,ni mvulana mfupi kiasi umri miaka 21 elimu form 4,najua kuongea kingereza kwa ufasaha,muaminifu na mtiifu na nipo tayar kufanya kaz mahali popote.Kama utakua unahitaj tuwasiliane kupitia no 0653957095 au email ally.saidy@yahoo.com,asanten sana!

mimi nahitaji kweli houseboy ila mmh!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom