Hi wadau, Nina biashara yangu ya kuuza computer accessories mikoani (Out of DAR) na nahitaji serious and reliable distibutor/whoseller atakayeweza kuniuzia "mzigo" kwa bei nzuri ili na mimi niweze kufanya resell. Tafadhali tuwasiliane