Nadhani mdau umeeleza na kutoa taarifa sahihi sana, wanaoshabikia habari za vijiweni na kujidai wameitwa ilhali ni stress zinawasumbua hawafai kukaa wanachangia thread za namna hiikilichotokea UDOM ni kwamba waliita watu 16 kwa ajili ya interview kuweza kupata wahasibu ambao watakuwa katika kitengo cha Mikopo ya wanafunzi kuweza kukabili mfumo mpya wa kulipa wanafunzi vyuoni ambao umeanzishwa na HESLB (bodi ya mikopo) hivyo nafasi ni mpya zimejitokeza kutokana na mfumo mpya wa bodi ya mikopo nafasi za uhasibu zilizotangazwa mwanzo bado mchakato wa shortlisting unaendelea ingawa hao 16 walioitwa walitokana na wale walioomba nafasi zilizotangazwa
Hivyo vijana muendelee kusubiri zile nafasi ziko palepale
Kutoka source ya kuaminika
kilichotokea UDOM ni kwamba waliita watu 16 kwa ajili ya interview kuweza kupata wahasibu ambao watakuwa katika kitengo cha Mikopo ya wanafunzi kuweza kukabili mfumo mpya wa kulipa wanafunzi vyuoni ambao umeanzishwa na HESLB (bodi ya mikopo) hivyo nafasi ni mpya zimejitokeza kutokana na mfumo mpya wa bodi ya mikopo nafasi za uhasibu zilizotangazwa mwanzo bado mchakato wa shortlisting unaendelea ingawa hao 16 walioitwa walitokana na wale walioomba nafasi zilizotangazwa
Hivyo vijana muendelee kusubiri zile nafasi ziko palepale
Kutoka source ya kuaminika
jamani wana jf nasikia udom wamefanya interview kimyakimya siku ya jumapili,je kuna mdau ana taarifa hiyo?
waliosikia wamesikia kama wewe uamini kaa hivyo hivyo usiamini. Nina ndugu yangu yuko UDOM HR nilipoona hii thread nili take trouble kumpigia ndio akanieleza hivyo sina interest yoyote after all im not looking for job nimetoa msaada tuWewe ni Shabani Mlacha nini?? Source za kuaminika in which sense???
waliosikia wamesikia kama wewe uamini kaa hivyo hivyo usiamini. Nina ndugu yangu yuko UDOM HR nilipoona hii thread nili take trouble kumpigia ndio akanieleza hivyo sina interest yoyote after all im not looking for job nimetoa msaada tu
waliosikia wamesikia kama wewe uamini kaa hivyo hivyo usiamini. Nina ndugu yangu yuko UDOM HR nilipoona hii thread nili take trouble kumpigia ndio akanieleza hivyo sina interest yoyote after all im not looking for job nimetoa msaada tu