Watu wanakula Mishahara ya bure Serikalini!!

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,855
1,255
Hilo ni tatizo kubwa sana hapa Tanzania watu wengi wanapenda kukopi na kupaste kila kitu.
 
M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
70
Huwa na mshangaa sana msajili wa Hazina unakuta anatoa kibali cha kuajiri watu wanahajiriwa ila hakuna kazi wanayofanya nikulipwa mshahara tu na kodi za watanzania na wengine wako busy wanatumia magari ya serekali ovyo katika biashara zao Hii ipo sana wizara ya mali asili .Maige hii ni aibu kubwa mno-tupia jicho lako.
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,393
8,150
Huwa na mshangaa sana msajili wa Hazina unakuta anatoa kibali cha kuajiri watu wanahajiriwa ila hakuna kazi wanayofanya nikulipwa mshahara tu na kodi za watanzania na wengine wako busy wanatumia magari ya serekali ovyo katika biashara zao Hii ipo sana wizara ya mali asili .Maige hii ni aibu kubwa mno-tupia jicho lako.
`Siku moja nilitembelea web yao nilisikia kichefuchefu ni upupu humo mle hakua hata kuapdate contactas
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom