Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

I have a Pleasure to inform you on the following positions as they falls vacate to date: Examination Officer(1 Post) Qualification:MBA-IT,Statistics,any other related Experience: 1 year Legal...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msaada jamani naomba mnielekeze jinsi ya kufika baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani? maana naenda kwanye interview j3
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hawa jamaa kuna kazi walitangaza mwezi wa sita mbona kimya mpaka leo.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana jf, nauliza kama kuna mtu mwenye info zozote za takukuru, mchakato wa kurecruit huwa wanatangaza, mwaka huu wanaanza kurecruit lini? naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau wote humu ndani! Napenda kuwajuza kuwa NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye usaili....nawasilisha wadau.
1 Reactions
12 Replies
7K Views
natafuta kazi nimemaliza degree ya sheria mzumbe university mwaka huu sasa natafuta sehem niweze kujifunza mpaka nikianza law skul mwanza wa mwaka kesho
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Wakuu natumai muu wazima. Naleta hili ombi kwenu mnisaidie mawazo nisije kuta naingizwa mkenge... Kuna mtu anataka kuniuzia plot ambayo iko kwenye hatua za mwisho kuwa surveyed michoro nimeiona...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa saiv michakato midogo midogo ndo inamalizikia, kuatakua na nafasi za kazi ila kwanza tunatafuta company secretary. Sifa: 1: Certificate/Diploma ya BA/Marketing 2: Uzoefu wa angalau mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimewahi kufanya kazi kama msimamizi wa miradi katika ngo moja yenye makao yake hapa mjini, hvyo ninao uzoefu kiutendaji wa miaka miwili. Registration zinafanyika wapi? Tusaidiane mawazo kwa mwana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF, Kuna mtu alinijulisha jana kuwa kwa wale ambao wame be shortlisted wangeanza kupigiwa simu leo, na usaili utaanza jumatatu ijayo. Naomba kujua kama kuna mtu amepigiwa simu siku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta kazi nina Diploma ya kilimo na mifugo nilihitimu chuo tangu 2010 na kuaidiwa na serikali kuwa itatuajiri but mpaka sasa bado.Naombeni wana jf mnitajie makampun yanayoshugulika na fani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vp wakuu mwenye habari kuhusu hizo post hapo juu vp washaita?????
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Haya, akina mama changamkieni hiyo: The International Peace Research Association (IPRA) Foundation invites applications for the Dorothy Marchus Senesh Fellowship in Peace and Development Studies...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni mnisaidi nilifanya interview ya PSPF je kwa waliofanya kuna walioitwa tena?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona wana wa great kutafakar wamechemka coz nafas za kaz hakuna, Kama vp hiki kipengele kifutwe maana mtu ukisema unatafta kazi watakuzogoa Kama vile wamelazimishwa kuchangia, guyz hii sio USO wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeona ni vema niwashirikishe ndugu zangu ambao wasaka ajira kutwa kucha na kwa wale amabo wapo makazini na wanapenda kuwa na kipato cha ziada. Jambo unalotakiwa kufanya ni kufuata link hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna kijana nlimsikia siku moja analalamika ana CPA ,MBA ila hana uzoefu, wanamtosa kwenye ajira sijui kama alishapata kazi kama bado kuna empty anaweza wasiliana na mimi ,pia ni kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF?,mi ni miongoni mwa walim wa SHORT COURSE. Nilihudhuria mafunzo hayo mwaka 2006 na nikafanya kaz kwa miaka miwili(April 2006- August 2088). Nikaandika barua wizarani kuwa naomba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
An excellent opportunity has become available for an Information Technology Administrator with Boart Longyear Drilling Service in Mali. The Company...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Business Improvement Coordinator-067309 Contract Description We are seeking a dedicated, self motivated and highly organized Business Improvement Coordinator to join the Administration Team so...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom