Nafasi ya kazi-lecturer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi-lecturer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by hirorobert, Nov 1, 2011.

 1. hirorobert

  hirorobert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kijana nlimsikia siku moja analalamika ana CPA ,MBA ila hana uzoefu, wanamtosa kwenye ajira sijui kama alishapata kazi kama bado kuna empty anaweza wasiliana na mimi ,pia ni kwa yeyote mwenye atleast MBA naweza nkam referee akaipata ni urgent
  hirorobert@yahoo.com
   
Loading...