emmu natafuta kazi

emmu

Member
Sep 16, 2011
19
0
Natafuta kazi nina Diploma ya kilimo na mifugo nilihitimu chuo tangu 2010 na kuaidiwa na serikali kuwa itatuajiri but mpaka sasa bado.Naombeni wana jf mnitajie makampun yanayoshugulika na fani yangu ili niombe kazi huko kwani lengo langu nikipata mtaji niweze kujiajiri.
 
We endelea kusubiria tu, nadhani post zenu watu wa kilimo mwaka jana zipo njiani, sema zimechelewa kwa sababu ya uchaguzi wa Igunga. Nawafahamu wadada flani wapo hapa kitaa wanangojea,sema wameboreka mno. Hii serikali yetu hii
 
usivunjike moyo, hauko peke yako, vijana(weka wahitimu) wengi wapitia hali kama yakoooo...jipe moyo...vumiliia,... siku moja utayashinda.
HUU ULIKUWAGA WIMBO.
Sikumbuki nani aliimba.
Na ndo ujumbe nlokupa leo.
 
Back
Top Bottom