Kijaka Kimbiji Kigamboni nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijaka Kimbiji Kigamboni nisaidieni

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tete'a'tete, Nov 3, 2011.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu natumai muu wazima.

  Naleta hili ombi kwenu mnisaidie mawazo nisije kuta naingizwa mkenge...

  Kuna mtu anataka kuniuzia plot ambayo iko kwenye hatua za mwisho kuwa surveyed michoro nimeiona lilikuwa ni shamba sasa ameamua kulifanyia survey na kuliuza hebu nisaidieni kimawazo zaidi kuna kipindi cha nyuma niliona kwenye TV wananchi wa huko kimbiji wakiilalamikia serikali kunyanganywa maeneo yao Je kuna mtu yeyote hapa anajua vizuri kuhusu haya maeneo ya Kijaka Kimbiji kigamboni na ni kilometer ngapi kutoka ferry naomba mnishauri kabla sijakinunua.

  Asante nawakilisha...
   
 2. D

  Dotori JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kimbiji ni kama 30kms toka Ferry. Ni vyema ukawasiliana na Mwenyekiti wa Serikali wa mtaa ili kupata uthibitisho. Kuna baadhi ya maeneo yametwaliwa na Jeshi na wananchi wa skies wakiuza kwa tamaa. Kama ni surveyed akuonyeshe hati zake. Wasiliana na Mwenyekiti wa mtaa 0714132993. Kila la heri
   
 3. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu nampigia ila hapa kwenye hii survey map bado haina plot number wala block number lakini asante ngoja nimjaribu...
   
 4. D

  Dotori JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unauziwa na mtu binafsi au kampuni?
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu binafsi...
   
Loading...