Kwa wanaotafuta ajira

Fmewa

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
292
81
Leo nimeona ni vema niwashirikishe ndugu zangu ambao wasaka ajira kutwa kucha na kwa wale amabo wapo makazini na wanapenda kuwa na kipato cha ziada.
Jambo unalotakiwa kufanya ni kufuata link hiyo hapo chini na ujisajili (sign up) halafu utapata maelekezo namna ya kufanya. ni mfumo ambao unakupa nafasi ya kupata kuwa na website yako na kuwa na kupublishi makala na matangazo kadha.
TAFADHALI fuata link hii na kama una maswali tuwasiliane
Huu sio upatu yabidi ujitume na uwe na malengo katika kazi
www.mybwbsite.com/3780838

Nawakieni mafanikio
 
toa details za kutosha,sio nasign up halafu inbox yangu inaanza bombarded na sparm msgs!! Life is npt tht much slopy!!
 
Sasa huu mfumo unaompa kila mtu kuwa na website yake maanake nin, website sasa zimekuwa e-mail enhee!? mi nashauri detail za huo mfumo ziwe wazi kabla mtu aja sign up.
 
mbna hujatupa details zote? So tukishakuwa na hyo website inatusaidia nn?.ebu elezea zaid acha kutuacha njia panda
 
Dah, kila mtu akiwa na website yake kweli ni kwa umaharufu gani ndio ukuwezeshe watu wakutembelee? au kuna maelezo zaidi yanayosaidia.
 
Iyo mambo iko hivi wakuu! lyo link hapo chini ni registration namba ya jamaa, the way mnapojiregister mnakua chini yake na nyie mtapewa ya kwenu muwatafute wenzenu.
ukitaka amini bofya Iyo link hapo chini then angalia kulia juu, kunavimaneno Vidogo sana vimeandikwa jina la jamaa!

mi nimestuka kitambo.............!!!! ila naomba wachache wajiunge ili walete chungu na mbivu.
 
Iyo mambo iko hivi wakuu! lyo link hapo chini ni registration namba ya jamaa, the way mnapojiregister mnakua chini yake na nyie mtapewa ya kwenu muwatafute wenzenu.
ukitaka amini bofya Iyo link hapo chini then angalia kulia juu, kunavimaneno Vidogo sana vimeandikwa jina la jamaa!

mi nimestuka kitambo.............!!!! ila naomba wachache wajiunge ili walete chungu na mbivu.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom