Lini interview NHC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini interview NHC?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Muborn town, Nov 3, 2011.

 1. M

  Muborn town New Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa kuna kazi walitangaza mwezi wa sita mbona kimya mpaka leo.
   
 2. s

  sersera Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni NHC au NHIF? KAMA NI NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND WAMETOA TANNGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALE WOTE WALIOTUMA MAOMBI TAFUTA DAILY NEWS LA TARH 2.11.2011 TAZAMA PAGE YA 20
   
 3. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa yuko sawa kipindi hicho pia hawa jamaa wa NHC walitangaza post mbalimbali nami pia nilituma maombi pale lakini cha kushangaza mpaka hi leo. jamaa hawajatoa hata tangazo lao la kuitwa kwenye interview.
   
Loading...