Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Anonymous
Mimi ni mhitimu wa mwaka 2020 katika fani ya Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM). Kwa kweli, kuna nyakati najikuta nikijiuliza kwa uchungu sana—kwa nini nilichagua kusoma fani hii, hasa...
7 Reactions
45 Replies
936 Views
Anonymous
Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi...
0 Reactions
6 Replies
219 Views
Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Kama umehitimu chuo kikuu au una certificate kutoka chuo au taasisi yoyote ya elimu ya juu, huu ni wakati wako wa kuchukua hatua ya kujiingizia kipato kupitia kazi za kuajiriwa mtandaoni. Kazi...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Remote jobs come in various types, catering to different skills, industries, and work preferences. Here are some common types of remote jobs: 1. Fully Remote Jobs Employees work entirely from...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Nahitaji mpishi wa bites na Chakula cha Kiswahili cha mgahawa.Tupo Tunduma kwa mawasiliano piga 0718044976 au 0754604976
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Habari zenu wakuu Mimi ni land surveyor nina uzoefu wa kutosha kwenye hii kazi pls wakuu naombeni kazi.
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Habarini za wakati, ndugu wana jamii forum. Kwanza nipende kushukuru wale wote walio niamini wakanipa kazi za mda kufanya nayo, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Leo, nipo kwenu tena. Ombi langu...
2 Reactions
2 Replies
88 Views
Anonymous
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend. Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya...
6 Reactions
35 Replies
663 Views
  • Redirect
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
3 Reactions
– Replies
– Views
Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa...
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi...
8 Reactions
33 Replies
473 Views
Anonymous
Kero yangu tulioitwa kwenye interview ya UTUMISHI siku ya Jumamosi tarehe 15-08-2026, iliyofanyika Chuo cha IFM Posta, Kada ya Artisan Electrical tumeishia kufukuzwa na kusimamishwa na kuzuiliwa...
5 Reactions
43 Replies
722 Views
Ndugu yangu ameitwa kazini kama Afisa Usafirishaji na katika barua yake ya ajira ameagizwa kuripoti Dodoma. Alifika mapema katika kituo alichopangiwa na kuanza taratibu za kuripoti kama...
4 Reactions
26 Replies
646 Views
Wadau mimi nilikuwa muhudumu wa Afya (medical attendant) niliacha kazi mwaka 2011, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi baada ya kunyimwa ruhusa yakwenda kusoma. Nikaenda...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Jamani! Nahitaji kazi amabayo ipo flexible ya kwenda na kurudi ili ni balance na studies. Any recommendations let me know Nipo dar
1 Reactions
5 Replies
86 Views
Habari wana JamiiForums. Natafuta nafasi ya kazi yoyote nitakayopewa kulingana na uwezo wangu. Kwa sasa sina ujuzi maalum wa kitaalamu, lakini niko tayari kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na...
8 Reactions
50 Replies
552 Views
Anonymous
Habari za muda huu wana JamiiForums! Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kero iliyopo kwenye halmashauri yetu ya jiji la ilala. Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa masomo ya sanaa Mwaka 2016...
2 Reactions
10 Replies
178 Views
Anonymous
Watumishi wa Umma tumefunguliwa Mfumo wa ESS ambao tumeambiwa ndio suluhisho la Watumishi lakini mfumo huu bado ni changamoto, Mtumishi anaomba uhamisho kwenye mfumo mpaka unafika TAMISEMI halafu...
1 Reactions
3 Replies
295 Views
Back
Top Bottom