Habari wadau wa JF,
Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa...
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia ( Service) na mpishi ( Chef).
Waombaji wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Waombaji wawe jinsia ya kike ...
Wafanyakazi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi tunaomba mamlaka husika, hususan TAMISEMI na Wizara ya Afya, kusikiliza kilio chetu kuhusu stahiki zetu za kikazi.
Licha ya kufanya kazi...
EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022
EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA)
FIELD: Community Engagement Officer and...
Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi...
Ndugu waungwana, nakuja mbele yenu ili kuomba msaada wa haraka na nini nifanye
mapema mwaka 2014 niliajiriwa kama mwalimu katika halmashauri moja hapa nchini Tanzania.
Hata hivyo, kwa kupatwa na...
Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu...
Tulifanya kazi ya kusimamia na kusahihisha mitihani Julai 2025, mpaka leo bado, tukiwatafuta wanasema tutalipa week hii lakini week zinaisha tu hawalipi.
Ni mwaka sasa, tusaidieni kufichua uovu...
Saccos ya Posta na simu walipeni pesa zao wastaafu na waliojitoa.
Eneo la Mabibo limeshauzwa muda sasa, kwanini mnaomba rushwa na hamtaki kuwalipa haki zao.
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania.
Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira...
Halmashauri ya Mpwapwa haijatupeleka watumishi wake kwenye mashindano ya michezo kwa miaka mitatu mfululizo, ikieleza kuwa fedha zilizotengwa kwa ajili ya michezo zitatumika katika shughuli za...
Mimi ni afisa afya mazingira nayafuta mtu wa KUBADILISHANA nae kituo Cha kazi mimi Nipo mafinga nataka mtu wa dar, morogoro au Tanga
Mawasiliano 0772812544
Ajira mpya halmashauri ya korogwe vijijini hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa hivi miezi mitatu sasa...
Tunaomba Serikali itusikie jamani tunateseka ...🙏
Jamani tusaidie Walimu tunaonewa Tarime Mkoa wa Mara tunaenda kusimamia Mtihani wa Mock kwa mkopo unaweza ukapangiwa kituo cha mbali, sasa hivi nauli zimepanda unatumia nauli shiingi 8,000 kwenda...
Habari,
Tunaomba upaze sauti mamlaka zisikie maafisa maendeleo wa kata halmashaur ya kwimba tunanyanyasika, mkuu wa idara Yuko biased anajali walioko headquarter tu.
Yaani maafisa wa kata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.