Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau, Nilifungua Claims NSSF wiki 6 zilizopita na sasa balance inasoma 0 siku ya nne sasa lakini akaunti yangu haina kitu. Je hii ina maana kuna shida au niende NSSF kuuliza ama...
8 Reactions
73 Replies
9K Views
JOB VACANCY: INSTRUCTOR II (CIVIL ENGINEER) – 1 POST On behalf of the Tanzania Railways Corporation (TRC), the Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high-calibre, results-oriented...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi...
1 Reactions
0 Replies
87 Views
Kuna wakati Changamoto kv Kusahau password Kusahau email Kutengeneza akaunti Kuomba kazi nk umeshindwa kuzitatua? Tuwasiliane kwa 0792715343 nikusaidie
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Jamani ni Mimi tu sipati Kazi ama kila kitu ni connection , mwenye kazi aniajiri wajameni 🙈🤲🤲
7 Reactions
21 Replies
411 Views
Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
Ajira ya Mwaka 2026 January katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Walimu hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tukiuliza wahusika kama SLO anatufokea na hawatoi majibu mazuri. Soma Pia...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali...
3 Reactions
22 Replies
207 Views
Anonymous
Walimu tulioajiriwa katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mwaka 2022 tulithibitishwa kazini ila hadi sasa hatujapandishwa madaraja, tumefuatilia wilaya nyingine wenzetu wamepandishwa ila...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Anonymous
Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya...
1 Reactions
7 Replies
115 Views
Anonymous
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
Anonymous
Walimu wa Ajira mpya ya January 2026, Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' Manyara, tangu tumeajiriwa mwezi January hadi leo hatujapewa fedha za kujikimu, Idara nyingine zote wameshalipwa lakini Idara...
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Anonymous
Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado...
0 Reactions
2 Replies
81 Views
Anonymous
Sisi ni Walimu wa Ajira Mpya 2025, Wilaya ya Gairo, hatujapewa fedha yetu ya kujikimu licha ya wenzetu wa Elimu ya Msingi kupewa, lakini sisi tunazungushwa tu mara hivi mara vile, swali ni je...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
0 Reactions
3 Replies
73 Views
Habari, Sisi watumishi wa Kituo cha Afya Mkonoo, Mkoa wa Arusha, tunaomba kupaziwa sauti kuhusu changamoto zinazotukabili. Tunahamasishwa kukusanya mapato kituoni, lakini mahitaji muhimu kama...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
  • Poll Poll
Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kati ya kozi mbili zifuatazo ni kozi ipi inalipa zaidi na ipo Marketable zaidi na yenye malupu lupu. Kozi zenyewe ni 1-Human Resources Management 2-Procurement and Supplies Management. Wataalam...
2 Reactions
27 Replies
352 Views
Anonymous
Watumishi wa Lindi Manispaa tumeshindwa kupanda madaraja kisa viongozi wetu hawajafanya final assessment, wakati sisi tumetimiza wajibu wetu wa kufanya activity zetu vizuri ile 30% ya Superviser...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Back
Top Bottom