Nahoji, kuchelewa kwa mchakato wa usaili wa nafasi za ajira za Utumishi wa Umma husababishwa na nini hasa?
Inawezekana mtu akatuma maombi ya kazi leo, tarehe 27/07/2026, lakini majibu ya kuitwa...
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji.
Kozi hii ni...
Habari JamiiForums,
Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki...
Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao.
Cha kusikitisha...
Mimi ni Mwalimu mzoefu niliyebobea kwenye taaluma hii katika kufunduisha hasa masomo ya Business Studies na Uchumi (Economics). Pia nina uzoefu wa Uongozi katika Shule za Sekondari kwa miaka...
Mwaka 2024, Sekretarieti ya Ajira ilitangaza nafasi za kazi kwa walimu wa somo la Biashara (Business Studies). Mojawapo ya vigezo vilivyotajwa ni kuwa mwombaji awe na Shahada ya Ualimu (Bachelor...
Mimi ni mwanamke, nina certificate ya secretary na nina diploma ya journalism. Nimefanya kazi ya presenter, uandishi lakini marketing ni kazi ambayo ninaifanya kwa kupenda na ninaifurahia, iwe ni...
Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka...
Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board...
Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha...
Halmashauri ya Mkuranga watumishi hawapewi stahiki zao kwa wakati, zikiwemo likizo, uhamisho na stahiki nyingine.
Fikiria unaomba likizo yenye malipo, lakini hulipwi hadi miaka inapita...
JamiiForums tunaomba mtusaidie kupaza sauti Watumishi wa Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang`hwale, ajira za August 2025 na January 2026 mpaka leo hatujalipwa fedha zetu za kujikimu licha...
Naomba mamlaka husika ichunguze muundo na uteuzi wa viongozi wa CHMT katika Halmashauri ya Mpimbwe, kwa kuwa kuna baadhi ya nafasi za uratibu na uongozi zinazoshikiliwa na watumishi ambao sifa zao...
Sisi ni vibarua wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Idara ya Mazingira na Bustani, tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuchelewa kwa malipo ya mishahara.
Kwa muda sasa, vibarua wa jiji...
Habari wadau,
Nilifungua Claims NSSF wiki 6 zilizopita na sasa balance inasoma 0 siku ya nne sasa lakini akaunti yangu haina kitu.
Je hii ina maana kuna shida au niende NSSF kuuliza ama...
JOB VACANCY: INSTRUCTOR II (CIVIL ENGINEER) – 1 POST
On behalf of the Tanzania Railways Corporation (TRC), the Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites high-calibre, results-oriented...
Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi...
Kuna wakati Changamoto kv
Kusahau password
Kusahau email
Kutengeneza akaunti
Kuomba kazi nk umeshindwa kuzitatua?
Tuwasiliane kwa 0792715343 nikusaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.