Start Date: ASAP
Location: Nairobi
Innovations for Poverty Action (IPA) Kenya is a branch office of an international nonprofit research organization directed by leading development...
Background / General description
The Bank's Africa Region is committed to working with client governments, the private sector and civil society in Africa, as well as its development partners, to...
Wadau,
Kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya udreva wa kuendesha gari ya mtu binafsi,kampuni,serikali,gari ndogo au kubwa.
Ana leseni ya udreva, cheti cha VETA, na uzoefu wa miaka 2.
Mwenye...
jamani wana jukwaa na wakaribisha katika mkutano wa injili katika viwanja vya biafra ,pamoja na mafundisho yanayotolewa pia
watumishi wa MUNGU wanaombea vijana tupate ajira na tujitegemee ,mimi...
Wanajamvi wengi wetu tunaotafuta kazi siku ya interview hasa hasa oral ndio siku ya red carpet... Unapiga pamba unayoiaminia yaani unavunja kabati kwa kiswahili cha mtaaa... Suti, tai, saloon kwa...
maana hiyo competition balaa, kazi elf 2 tu bt waombaj zaid ya milion 2..alafu vijitu vikawa vinasema eti tukikosa tukaoge baharini..MUNGU NIBARIKI MIMI, BARIKI WAOMBAJI WENGINE, MUNGU BARIKI...
Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000)...
General Motors East Africa IT Controls Coordinator and Parts Sales Executive Jobs in Nairobi Kenya 2012
General Motors East Africa Limited the franchise holder for Isuzu and Chevrolet is a...
Nauza personal collection yangu ya novels. 1. The Tristan Betrayal- By Robert Ludlum 2. The Bourne Supremecy - By Robert Ludlum. 3. The Bourne Ultimutum - By Robert Ludlum. Bei kwa Kila moja ni...
Wadau kuna finalist mmoja kutoka chuo kikuu kimoja hapa bongo aliniomba nimsaidie kumwelewesha maana ya
"Tell us about your career" katika masuala ya kazi. Yeye alikuwa akiandaa cv yake.
Majibu...
wana JF,
Huko nyuma niliwahi kuleta suali linalofanana na hili ninaloliuliza hapa ila hili ni kwa pembe nyengine.
Naomba kuelimishwa ni vipi raia wa nchi nyengine anaomba kibali cha kufanya kazi...
WENYE SIFA ZENU HAYA TENA MI SINAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
Job Title: Human Resources & Administrative Officer II
Category: HR & Training
Location: Arusha, Tanzania
Description:
Duties &...
YOSSO is nonprofit organization, established and registered in Tanzania to bring needed sports and youth development programs to disadvantages communities in Tanzania and beyond. We believe that...
kwanza niwapongeze wote mliopata nafasi ya kufunga ndoa na serikali. hongereni sana pia nendeni mkalitumikie vyema taifa letu na watu wake.
ombi langu ni kuwa hebu tengeni dakika chache tu mrudi...
Habari za mda huu wanafamili wa JF.
Nina degree ya business administration na mimeajiriwa mkoa wa dodoma, hivi sasa natarajia kuanza likizo ya mwezi kuanzia tarehe 11 na ningependa nitumie mda huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.