Hili la URANIUN SONGEA limekaaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la URANIUN SONGEA limekaaje??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sizinga, May 31, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).

  JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
  Nawakilisha.
   
 2. J

  JahGun Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Use ur common sense , wewe tangia umezaliwa ushawahi kuona nafasi za kazi zinauzwa?
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Please just think,read my msg and give the proper answer!!

  Tangazo lenyewe hili hapa
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  hao ni matapeli mkuu
   
 6. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  utatapeliwa wewe.hakuna kitu kama hicho katika soko la ajira.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Duh e banaaa eeh...ok ngoja niendelee kufatilia basi
   
 8. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wapo weng matapel mf ni wale wengne kwenye thread humhum, so beware wangu.
   
 9. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Utaingizwa mjini matapeli hao, nani amekuambia kazi huwa zinauzwa?? Au ni kama wale wanaouziwa ikulu??
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Town hii wewe hali ngumu stukaaa utapigwa hyo jiwe 6 yako hao wapopo!!
   
 11. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sijawahi sikia usaili wa ajira wa aina hii, sasa angalia usije ukalizwa mkuu.
   
 12. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo hakuna kazi ni utapeli..... mimi nilipigiwa simu jumatatu jioni nikaambiwa nitangulize sh laki 2 au laki moja na nusu ndipo nitakua na uhakika wa kupata ajira baada ya kutoa hiyo hela,....
  Ni kweli kuwa unaweza kukuta ajira inauzwa lakini si kwa mfumo huo mara nyingi mtu anaetaka kukuuzia kazi anakuambia kuwa kazi utapata lakini umuhakikishie kuwa mshaara wa kwanza utakaoupata utamlipa hela yake then ukimuhakikishia anakuingiza kwenye mchakato coz nayeye mwenyew yuko kwenye system ukishapata ajira anongea na HR moja kwa moja kwa hiyo hapo huna ujanja inabidi umpe chake.
  Sasa hawa jamaa wa songea waliponiambia kuwa nilipe hiyo hela nikawaambia kuwa kwa vile wao wapo kwenye system wanjiajiri halafu mshaara wa kwanza ntawapatia wao wakakataa wakasema haiwezekani ndipo nilipogundua huu ni utapeli na bahati mbaya zaidi hata kampuni yenyewe haina hata website, kwa hiyo nikagundua huu ni usanii wa mjini
  Nakushauri kama umepigiwa simu achana nao coz hao ni wababaishaji tulia ajira ipo tu lakini usipoteze hela yako kwa ajili ya hao jamaa.
  Thanks
   
 13. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hao ni matapeli wakubwa!Hakuna ofisi itakayokuambia ulipe hela kwanza ndiyo upate kazi.hakuna rushwa inayoombwa namna hiyo. Kuna thread inaendelea ya kampuni fulani ya kutafutilia watu kazi.Icheki na shtuka!!!
   
 14. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu tumeanza kuwa kama nigeria sasa!
   
 15. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, changanya na zako. Kweli umewahi ona wapi nafasi ya kazi inauzwa? Hata uwaziri wa JK tu hauuzwi!
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ok,hawa jamaa kweli sio,ngoja niende mgodini kwenyewe nikaulizie coz sio mbali sana na hapa nilipo. Thanks kwa ushirikiano wenu wadau
   
 17. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umbeya
   
 18. D

  Donyo Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haloo wasomaji wa jamii forum, mimi ni mwanachama mgeni, nimekuwa nasoma makala mbalimbali zinazowasilishwa na wachangiaji mbalimbali. Asanteni sana kwa kunielimisha mpaka nikaona ni vyema nijiunge.

  Kwa upande wa mada iliyo mbele yetu, naomba muhusika awe makini, kwani ajira hazipo hivyo. Binadamu anapambana zaidi katika ulimwengu wa mawazo kuliko katika ulimwengu wa nguvu na kuona kwa macho. Ndiyo maana ELIMU ni muhimu sana binadamu kuipata.

  Matapeli wapo na wataendelea kuwepo, na viwango vyao vya kutapeli vitaendelea kuwa vya juu lakini unatakiwa kuwashinda na kupata kile kitu unachokihitaji bila kudhurika, na hata kama ni kwa kudhurika lakini usiumie sana
   
 19. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hao mabwana ni matapeli mimi nimeongea nao kwanza sayansi ndogo tu itatosha kujua hao ni changa kwa kuwa email yao inaishia gmail.com ukishaona mtu anashilikisha hela kisha email yake inaishia gmail.com ,yahoo.com,hotmail.com, n.k ujue hilo tego
   
 20. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Alikuwa akiuza mama mmoja pale Manispaa ya ILALA akiwa Afisa UTUMISHI MKUU...kwa laki 5, na wengi walichomolewa na kupata kazi ila sasa nasikia hayupo hapo.
   
Loading...