Kwa wateule walioitwa kazini serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wateule walioitwa kazini serikalini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by galagaja mtoto, Jun 9, 2012.

 1. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwanza niwapongeze wote mliopata nafasi ya kufunga ndoa na serikali. hongereni sana pia nendeni mkalitumikie vyema taifa letu na watu wake.

  ombi langu ni kuwa hebu tengeni dakika chache tu mrudi humu jamvini na kuwapa somo wale waliobaki huku wakiwa magalagaja wa nafasi za kazi. wapeni mbinu na siri ya mafanikio yenu hadi hapo mlipofikia ukizingatia wengi hatujui jinsi ya kuandaa barua nzuri ya kuomba kazi, intavyu zote mbili na pia mwonekano chanya katika mambo yote yanayohusiana na mchakato mzima wa kutafuta ajira serikalini.

  kiongozi nzuri husimamia vitendo sio maneno
   
 2. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  You are right man, watupe siri ya mafanikio ili sote tujipange kwa future opportunities, wasitubanie bana mana kuna watu wana roho za kwanini sana. By the way best wishes
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  well said, true dat!
   
Loading...