MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,038
- 854
Habari za mda huu wanafamili wa JF.
Nina degree ya business administration na mimeajiriwa mkoa wa dodoma, hivi sasa natarajia kuanza likizo ya mwezi kuanzia tarehe 11 na ningependa nitumie mda huu kupata uzoefu zaid kwa kujitolea bila ya malipo hapahapa mkoani Dodoma, kwa wamkoani utabidi unigharamikie living expenses kama utahitaji my services, kama wahitaji msaada check me on maubig2007@yahoo.co.uk