Maombi kwa wanaotafuta ajira

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,416
4,872
jamani wana jukwaa na wakaribisha katika mkutano wa injili katika viwanja vya biafra ,pamoja na mafundisho yanayotolewa pia
watumishi wa MUNGU wanaombea vijana tupate ajira na tujitegemee ,mimi nachukua nafasi hii kuwa karibisha wote

mbarikiwe wapendwa
 
ahsante sana tuombee nasi wa huku sitimbi ambao ha2wezi kuhudhuriua.''mtumishi wa mungu aseme neno moja tu nasi tutafunguliwa milango ya ajira.'' MUNGU AKIWA UPANDE WETU NI NANI ALIYE JUU YETU............''
 
mkuu tafadhali tuwakilishie maombi yetu hapo kwa mchungaji milango ya ajira ipate kufunguka.
 
Wahitimu kwa mwaka ni laki 7, lakini nafasi za kazi kwa mwaka ni elfu 40.
Hapa hayaitajiki maombi tu pekee, bali kufunga na kujipaka majivu kama Yona.
 
Linatokana na kutokumwomba Mungu, tukimwomba tu viwanda vitafunguliwa, mashamba yatakuwa mengi ya kuajiri watu, na sis tutapata akili ya kujiaajiri na uvivu utatutoka, tutakuwa wachapa kazi ile mbaya kama wajapan mpaka tutakuwa tunalazimishwa kupumzika.
 
hivi tatizo la ajira tz linatokana na kutokumuomba Mungu?

Dah, yaani hapo ni kama ktk mpira wa miguu, mshindi mmoja tu na mungu ni mmoja tu hivyo kila mtu anaomba ashinde yeye, ila nafikiri tangazo mwisho lilitakiwa liseme MSISAHAU KUJA NA SADAKA ZENU.
 
mpendwa tindikali MUNGU ndio muweza wa yote anaweza kutusaidia katika janga hili ,mimi binafsi nimejitolea kukuombea
 
Dah, yaani hapo ni kama ktk mpira wa miguu, mshindi mmoja tu na mungu ni mmoja tu hivyo kila mtu anaomba ashinde yeye, ila nafikiri tangazo mwisho lilitakiwa liseme MSISAHAU KUJA NA SADAKA ZENU.

likwande, kuja na sadaka ni jambo jema lakini si lazima
 
Namuomba mtoa mada hii atoe ushuhuda kama yeye alipata ajira kwa njia hii ya kuomba tu.
 
Namuomba mtoa mada hii atoe ushuhuda kama yeye alipata ajira kwa njia hii ya kuomba tu.

yaani kaka power ,mm naamini katika haya ,ombeni nanyi mtapewa ,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa
kwa kifupi nilipata kazi miezi mitatu baada ya ku graduate, in one of public parastatal bila kumjua mtu
but i will keep u on my pray today!
 
can u pray 4 me as well.
 
Linatokana na kutokumwomba Mungu, tukimwomba tu viwanda vitafunguliwa, mashamba yatakuwa mengi ya kuajiri watu, na sis tutapata akili ya kujiaajiri na uvivu utatutoka, tutakuwa wachapa kazi ile mbaya kama wajapan mpaka tutakuwa tunalazimishwa kupumzika.

kazi sana mkuu, bongo ni zaidi ya uijuavyo.
 
Back
Top Bottom