Msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zethumb, Jun 11, 2012.

 1. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  HI wana JF! naomba kufahamishwa jinsi ya kuchakachua MODEM!:confused2:
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  uczoee haya mambo mkuu yana madhara.hatutegemei great thinker km ww ufanye hvyo.pitia njia halali bana
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,270
  Likes Received: 2,947
  Trophy Points: 280
  Hapa mkuu sipo unaweza kukosa msaada unaohitaji,nenda jukwaa sahihi watakuelekeza. Kuna great thinker mmoja alikataa kutoa ushauri kwa kutopeleka thread jukwaa husika.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  peleka kule sc na tekno
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  modem gani na verrsion gani maana zipo nyingi sana nakila moja ina sytle yake na software yake..be open bwana
   
Loading...