Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Happy mary Christmas to all Jobless teacher's waiting to be called for interview soon.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Uzi maalum wa Wakemia wasionaajira, wanaotafuta kazi na waajira hata wanafunzi wakemia karibuni tupeane connection.
0 Reactions
4 Replies
662 Views
Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu. Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli. Licha ya hapo nina elimu ya heavy...
26 Reactions
79 Replies
4K Views
FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE) Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online. VIGEZO NA MASHARTI. 1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30...
1 Reactions
2 Replies
434 Views
Deadline of Application 30 Desember, 2024, Work Location :Ruvuma,
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Za saizi wakuu! Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m. Sasa...
2 Reactions
9 Replies
698 Views
Habari wana JF Naitwa Aisha natafuta kazi kwenye mashirika yanayosaidia watu au EGOs nina shahada ya sheria msaada tafadhali
2 Reactions
1 Replies
422 Views
Anonymous
Kumekuwa na tatizo la wakurugenzi na wakuu wa idara Mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro kuwazungusha Watumishi hela zao za nauli wakati wa kwenda likizo. Hili ni tatizo limekuwa...
2 Reactions
4 Replies
611 Views
Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Vote code na sub vote kwenye salary slip ni nini, naipata wapi? Mlioajiriwa siku nyingi msaada tafadhari.
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Habari wanaJF Mimi ni kijana umri miaka 21, elimu kidato cha sita na nimefanikiwa kusoma chuo kikuu mpaka mwaka wa pili na nimeacha mwaka huu kutokana na changamoto za maisha. Nimekuja kwenu...
2 Reactions
1 Replies
512 Views
Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia...
5 Reactions
7 Replies
794 Views
Habari wadau Mimi ni mtaalamu wa maabara ngazi ya Diploma na nina uzoefu wa kutosha katika fani hii. Naomba kazi ya muda mfupi(part time) kipindi hiki cha sikukuu kwa mwenye uhitaji au unayetaka...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa...
1 Reactions
4 Replies
689 Views
Naomba kuuliza Mishahara katika NGO Hizi ICAP Ni shingapi? Nafasi ya ART NURSE Naomba kuuliza kwenu Licha ya kusikia Kuna changamoto ya kulipwa pesa ningependa kujua wanalipaje? Na wanamishahara...
1 Reactions
3 Replies
711 Views
Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Back
Top Bottom