Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za usiku huu wanabodi wenzangu na pole pia kwa mihangaiko ya shughuli zenu za kila siku Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu kuwa nilikuwa nawaomba members wenzangu wa hili jukwaa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafanya kazi kituo Cha serikali Kilwa nipo tayari kwenda sehemu yoyote ambayo Ina baridi Kali Mkoa wowote wenye baridi Iwe mjini iwee kijijini sijali naangalia kuwe na baridi tu.
6 Reactions
13 Replies
926 Views
Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
GardaWorld is a leading company in the region in provision of security solutions, facilities management, and training services across East and Central Africa. HEALTH & SAFETY MANAGER KAHAMA To...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Position: Safety Health & Environment Manager Reports to: the Risk & Security Executive Officer Core Job Description: To oversee the organization’s comprehensive safety and environmental...
0 Reactions
3 Replies
789 Views
TANGAZO #EPMCOMPANY Tunatoa huduma za research za aina zote kwa sasa! Tupo Mwanza, Mtaa wa Selemani, na pia tunatoa huduma online kwa urahisi wako. Mawasiliano: WhatsApp: 0768615672 Simu...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Habari, Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini za mchana ndugu zangu mi ni kijana wa miaka 24. Na nilikuwa nina malengo makubwa sana kimaisha ila ndoto zangu zilikuja kufifia baada ya baba yangu mzazi ambae ndio alikuwa kila kitu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Walimu wa Biashara
1 Reactions
10 Replies
901 Views
Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN...
1 Reactions
2 Replies
612 Views
Natafuta kazi ya kufundisha Mathematics na ICT,dar es salaam Shukran 0621594478 napatikana kiwalani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Walimu Foeni mabegi yenu kwani Mda wowote mtaitwa (ku) zini. 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
7 Reactions
70 Replies
5K Views
Company Summary: Simera Transport Ltd is a Tanzanian company under private ownership, was founded in 2012 and has since evolved into the preferred choice for road freight transport and logistics...
1 Reactions
1 Replies
639 Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa apa dar es salaam naitaji kufanya KAZI ya uvuvi naomba mwenye connection anisaidie.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa utangulizi mfupi nina elimu ngazi ya digrii (ualimu) nje ya taaluma yangu nina experience ya kazi zifuatazo: 1.Kuuza hardware 2. Kulima bustani za mbogamboga 3. Kuchezesha playstation...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili. Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed" Mwenye...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada...
0 Reactions
5 Replies
678 Views
Nimekosa mtaji nisaidieni walau nipate part time job ili nipate mtaji nataka nifanye biashara ya kununua na kuuza mchele au hata mkopo kama inawezekana ntaweka bond pikipiki yangu aina ya motomorini
1 Reactions
9 Replies
766 Views
Habarini ndugu zangu¡? Wakuu naombeni mnisaidie kazi yoyote au kibarua angalau nipate chochote au connection ya kazi yoyote ndugu zangu, nipo Geita jinsia~me umri~28 elimu~degree...
5 Reactions
7 Replies
911 Views
Back
Top Bottom