Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 333 vacant posts...
5 Reactions
171 Replies
58K Views
Habari, mimi ni kijana mzoefu katika biashara ya tax mtandaoni na nina account active natafuta boss mwenye gari tufanye biashara asante. Mawasiliano yang: 0713458555 Mdullanicholous@yahoo.com
0 Reactions
9 Replies
976 Views
zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye uzi ,, Ni zaidi ya siku tano sasa zimepita toka utumishi wasitishe sahili zote za walimu. Lakini utumishi wameyafanya haya bila ya kutoa sababu zozote zile kwa walimu ...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu vipi huko kwenu mnaweza kupata access ya ajira portal? Huku kwangu mambo yapo hivi
1 Reactions
1 Replies
956 Views
Prime Zone is looking for Marketing & Logistic personnel in: 01. Sales And Marketing Officer– Dar es salaam (03 Positions) WORKING STATION: DAR ES SALAAM Job Type: Full-time. Key responsibilities...
1 Reactions
1 Replies
663 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne. 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa...
5 Reactions
131 Replies
59K Views
Habari wakuu Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?? Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa .. Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu .. Serikali ya Samia bila...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari waungwana... Nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni barabara ya Tabata kinyerezi. Ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu bei ya mwanzon ilkuw ni ml 11. Umbali Toka main road ni dakika 5 tu.. ni offer...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Habari wana forums, Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali...
1 Reactions
0 Replies
323 Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J0/51 17 th July, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA)...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya...
2 Reactions
74 Replies
19K Views
Habari ya muda huu, Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna kazi ambayo ni kituko yaani kama za kiwandani unakuta mtu analipwa 5000 nauli humo humo kula humo humo halafu hapo hapo matusi ya wachina au wahindi koko yanamkabili wakina dada wanaliwa na...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom