Mwenye Update kwa tuliofanya Interviews zile post TANAPA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye Update kwa tuliofanya Interviews zile post TANAPA.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chemshabongo, Oct 9, 2012.

 1. c

  chemshabongo Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Salamu zenu Wadau naomba kujua kwa wale ambao tulifanya Interviews Written na oral kwa post mbalimbali za shirika la TANAPA ambazo zilifanyika centers tofauti Dar mwezi August, jee waliofanikiwa wameshaitwa kazini.??
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Endelea kusubiri kama unavyosubili ujio wa Jesus Christ!! kwa ufupi imekula kwako!!
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Imeshakula kwako kaka, watu walikuwa wanapiga kazi hata kabla ya interview
   
 4. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kama una m2 huko ni ndoto hzooo Kuingia huko Tanapa,utasubiri km ujio wa yesu akirudi 2 dunia imekwisha
   
 5. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Katika taasisi za serikali ambazo siombi kazi hata kama wakitangaza ni hawa jamaa wa TANAPA, just because they are hopeless maandazi kama huna wakukushika mkono.
   
 6. P

  PJS Senior Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nimeshaitwa na interview sijafanya hata,mjomba wangu yupo pale ni bosi
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  duh.....
   
 8. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wale wa accounts wapo mzigoni mkuu 100% am sure hao wengine sina habari nao
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  TANAPA walitumia nafasi zile kupatia pa diem, ofisi zipo Arusha interview inafanyikia Dar, why Dar maana walioaply walitokea Tanzania nzima so ilitakiwa kama ni kubalance waipeleke Dodoma basi
   
 10. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Aliwazalo Mjinga Ndilo Limtokealo. :drum:
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hukuacha contacts kwenye cv?
   
 12. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  muda wa kula huu,ngoja nikale ugali mate mbele
   
Loading...