Mwenye kuifahamu distance learning support network | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kuifahamu distance learning support network

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DR. RICHARD, Oct 9, 2012.

 1. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau wa jukwaa hili, naomba kujua mtu yeyote mwenye kuifahamu hii taasisi kwa maana ya maslahi yao na mambo mengine kwani hivi karibuni walitangaza nafasi za kazi mimi niliomba na wamenitumia written interview questions, naona bora niwajue vizuri kwanza.

  Nawasilisha:
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dr.Richard wewe ni kilaza!! umesema umefanya interview distance learning suport network halafu unatuuliza hii taasisi inajihusisha na nini!!! wewe ni kilaza wa kukopi na kupesti! Kawaulize The comedy wa TBC.
   
 3. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ka labda sijaeleweka 2, nimesema wamenitumia written interview questions, kwa maana kwamba bado sijayajibu hayo maswali, naomba nisome vizuri
   
Loading...