Mwenye kuijua distance learning network

DR. RICHARD

Senior Member
Jun 24, 2012
123
25
Habari wana JF, ninappenda kujua zaidi hawa jamaa, vitu kama vile ufanyaji wao wa kazi na maslahi kwani hivi karibuni walitoa nafasi za kazi mimi niliomba kazi na wamenitumia maswali ya interview, naomba yeyote mwenye kuwajua anisaidie kabla sijazama nao kikazi. Asanteni.
 
Back
Top Bottom