Mshahara wa 'Tutorial Assistant' University of Bagamoyo ni sh ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa 'Tutorial Assistant' University of Bagamoyo ni sh ngapi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KIFPA, Oct 4, 2012.

 1. K

  KIFPA Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Saluti wadau wa JF!
  Naomba msaada mimi na jamaa yangu tumepata nafasi ya ututorial assistant na Laboratory technician ila kwa sasa tuna kazi sehemu hivyo tunataka kujua maslahi yakoje ili tuamue kwenda au la maana tupo mbali na jiji tupo mikoani. Kama kuna mtu mwenye details atusaidie jamani tuwe na maamuzi sahihi.
   
 2. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa ww unatuambia umeitwa kazini bila kunegotiate salary???Anyway kwa kukusaidia tu hao Bagamoyo university ni wazushi(trust me)..walimu wanaeza kaa miezi mitatu hawajalipwa..nna rafiki angu anafundisha hapo,miezi michace iliopita tulifanya nae inetrview elsewhere..nkamuuliza kulikoni ilhali ww ni mwalimu tena kwenye xpensive chuo???akaniambia siri ya mtungi ajuae kata!!hapo alipo alikuwa ana three months bila mshahara!amesoma LL.M..so ndugu kabla hujaondoka kwa mbwembwe bora uwakomalie uone hiyo offer yao,then utajua kama its worth it or not
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  huyu mtoa thread mzushi,kazi gani umepata alafu hujui mshahara kiasi gani?
  kwani barua yako ya kuitwa kazini/ offer haina maelezo juu ya maslahii ya mfanyakazi?
  au labda umealikwa kwenye usahili unataka wana jf wakusaidie scale ya mshahara ya hiyo taasisi ,funguka vizuri tukusaidie
   
 4. K

  KIFPA Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Acha uzushi kweli hawajanitumia chochote ndo nataka niende nikachukue hivyo nataka nijue panakuwaje ili nisichome nauli bure ikaw sio poa
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  its simple bro!kama unaona ishu ni kuchoma nauli kwenda bagamoyo,waambie barua wakutumie kwa fax
  alafu hizo taarifa za kupata ajira ulizipata kwanjia gani? maana naona thread zako haziingii akilini kwangu kuhusu hiyo ajira yako!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu kipo DSM hicho chuo.
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwani hiyo kazi umeipata kwa kushikwa mkono na wazee wa Bagamoyo? Wewe kama kweli ulifanya interview wakati wa interview hukusema unataka kulipwa shlingi ngapi? Kama ulisema let say milion 3 kwenye interview na leo umeitwa kufanya kazi basi jua wamekubaliana na hiyo milion tatu. Otherwise kama ulishikwa mkono we muulize aliekushika mkono atakulipa shilingi ngapi au kama unamuogopa we nenda hivo hivo tu maana nyie ndo mnaharibia watu wengine wenye uhitaji
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Hujasign mkataba? Well inawezekana wanasign baada ya miezi mitatu au sita, lazima utatakiwa kukubaliana na mwajiri wako kuhusu mshahara!!!!
   
 9. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Komaa hapo ulipo
   
 10. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Kwetu Bagamoyo lakini nilikuwa sijui kama kuna University of Bagamoyo, du hii kali
   
 11. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  mzushi tu wewe!
   
 12. K

  KIFPA Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  NDG yangu naheshimu mawazo yako, walinopigia simu wakaniambia kuwa nilishinda interview,wakasema wanaandaa mambo sasa lengo lang nijuie mapema inakuwaje. Sasa nidokezee kwa nini basi au nipm ili niasiliane na ww maana siwezi kukupm sijatimiza mashart
   
 13. K

  KIFPA Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Usinikashifu hivo bana hebu ona nlivyomjibu chumvichumvi
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280

  Gross ni kuanzia 1.2M hivi kama sijakosea.
   
Loading...