Freelance graphic designer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freelance graphic designer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by De Caprion, Oct 10, 2012.

 1. D

  De Caprion Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, natafuta kazi za Freelance Graphic designer, ninauzoefu mkali sana, na kufanya kazi faster, nina I Mac, iko fresh, tunatumiana kazi na maelezo mi nafanya faster na kuemail back, mwenye kujua kampuni inayoweza kufanya kazi na mimi please naomba details zao, niweze tafuta matonge, ntakufa na njaa mjini hapa...
   
Loading...