Una sh ngapi mkuu ?Kuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
Tafuta Mtu humu anaitwa Mr Job.Kuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
Cheki pmKuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
Mungu akubarik upate kila lenye kheriCheki pm
Then Kama ndo umetok chuo CV yako isiwe kubwa Sana iwe Kama page 3
Kwakuwa Achievement and experience sio nyingi Sana.
Achievement na experience zitaongezeka zaidi pale utaapokuwa umefanya Kazi zaidi.
Ushapata?Asante
I receive 🙏🏽.Mungu akubarik upate kila lenye kheri
Cheki pm
Then Kama ndo umetok chuo CV yako isiwe kubwa Sana iwe Kama page 3
Kwakuwa Achievement and experience sio nyingi Sana.
Achievement na experience zitaongezeka zaidi pale utaapokuwa umefanya habari , naomba unisaidie Sample ya CV mtu alitemaliza Chuo , Sorry
Mkuu heshim yako, nisaidie na mm sample ya CV nitaedit mwenyewe tafadhaliTayari check ur pm
OKMkuu heshim yako, nisaidie na mm sample ya CV nitaedit mwenyewe tafadhali
Zama Google ujipakulie minyamaKuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
Mkuu nitumie namimiCheki pm
Then Kama ndo umetok chuo CV yako isiwe kubwa Sana iwe Kama page 3
Kwakuwa Achievement and experience sio nyingi Sana.
Achievement na experience zitaongezeka zaidi pale utaapokuwa umefanya Kazi zaidi.