Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanajamvi habari za weekend. Mimi ni Mwalimu wa shule ya msingi wilayani Mkuranga natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae nafasi aliyoko Monduli. Kwa mwenye utayari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa wametoa kazi kupitia gazeti la serikali daily news la leo hii 2013.04.15 1:-monitoring and evaluation (M&E) 2;-public financial manager Deadline ni april 30- Kwa maelezo zaid ya sifa kamata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wapendwa, mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu, nachukua sociology, mwezi wa sita mwaka huu nitakuwa namaliza chuo, hivyo nigeoenda baada ya hapo nipate kibalua cha kujishughulisha nacho, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote aliye mwanza na kama anasoma post hii naomba anipe kazi yoyote ile ila iwe halali maana maisha ni magumu jaman mpaka nawaza na yasiyopaswa kuwazwa! Elimu yangu ni ya Diproma of Public...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1;-principal public relation officer 2;-Quality assurance 3;-web developer 4;-Assistant systems administrator For more information visit www.tra.go.tz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKUU HESHIMA KWENU KUNA KAZI NATAKA KUAPPLY SASA TANGAZO LINASEMA MSHAHARA NI , Salary: USD 20k-24k per annum, 40 hours per week, JE HIYO NI SAWA NA TSH NGAPI KWA MWEZI?? MSAADA KWA NAYEFAHAMU...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari zenu wanajamii.nina shida na contacts za HR wa Tigo au any of the management. Please assist me in this. nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wakuu nisaidieni ajira hali ni ngumu jaman,,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE...
0 Reactions
18 Replies
21K Views
Mambo vp wakuu??,hivi zile nafasi za Restless development kuna mtu ana update pls??
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, habari zenu? Natafuta mwalimu wa kike awe anakuja nyumbani kuanzia J'3 - Ijumaa, saa mbili kila siku (yaani saa 10 kwa wiki). Mwalimu awe anajua Kiingereza na Kiswahili vizuri. Mtoto...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu niliambiwa kazi za mahakimu zimetangazwa! Mbona sijaona? Anaejua zaidi atupe taarifa
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani mim ni mvulan natafuta nafasi ya kusomesha japo tempo nina elimu ya BAED masom ya History na Kiswahili
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chuo kipya ambacho kimetangaza kazi nyingi kimedhihirisha ni wahuni watupu na wanataka kujipatia pesa kwa njia ya ulaghai. Ushahidi upo wa kutosha. Rafiki yangu (jina namhifadhi) aliwasiliana nao...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Hi,nina diploma ya marketing sina experience natafuta kazi ya sales and marketing,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani nimeitwa interview na startimes call center ila sijajua chochote kuhusu hawa watu naomba msaada kwa anaye jua labda kama kommon maswali na jinsi inavyokuwa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
World Vision is urgently recruiting qualified Tanzanian citizens to fill the below positions: 1:Security Adviser 2:Senior Internal Auditor 3:Internal Auditor 4:External relations Manager...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Wamenitumia ujumbe huu leo. TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY P.O. BOX 9858, Tel: +255 767 011344 DAR ES SALAAM TANZANIA - EAST A E-mail: smnzava@yahoo.com Website...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Wadau nimesoma kozi ya ubaharia pale DMI,je naweza pata wapi kazi?navizia ajira za Bandari.Msaada please!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nani anawafahaamu hawa ea retail mana nimeona tangazo lako la kazi kwenye gazeti nataka kujua umakini wao kwenye kuajiri au ni kazi za promotion
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom