Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

nasaka kazi tempo ya uDJ niko na experience na 2&4 ways mixer na kutumia laptop na mixer,
3 Reactions
18 Replies
10K Views
Shule ya sekondari na msingi KEMEBOS iliyoko mkoa wa Kagera inawatangazia nafasi za masomo katika muhula huu wa pili kwenye sekondari na shule ya msingi. KEMEBOS ni shule ya English Medium...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ladies and Gentlemen. Kama kuna yeyote ambaye ana Cheti kwa ngazi ya Certificate katika fani tajwa hapo juu tafadhali tuwasiliane kuna kazi ila itakuwa Part time na ni kwa Dar es salaam tu. Umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana jf nina mdogo wangu wa kiume by profession yeye ni Procurement and supply Management na qualification aliyo nayo ni Certified Procurement and Supplies Professional...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti tunaambiwa "85% ya Watanzania ni wakulima", Na wakati huo huo wakulima walio wengi wanaomba misaada ya chakula kilia mwaka, angalau, Tatizo linakuwa nini? Kiwanda cha Mbolea Kiko Kimoja tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi pia poleni na kazi jf member niliomba kazi PLAN INTERNATIONAL na SOS mwezi wa pili mwaka huu lakini naona kimya . mwenye taarifa yyte tafadhali. Thanx
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mm ni mfanyakazi wa bank ambayo sitaki kuitaja jina...nahitaji kubadilisha kazi...hapa tena pametosha na mshahara hautoshi ...compared na elimu yangu....
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunahita houseboys 20 na housegirls 30,kima cha chini mshahara ni sh.200,000,kula kwetu kulala kwetu,pia tunatumia mikataba,karibun sana,elimu kuanzia drs7-A-level,huwe umefaulu vizuri.NB-A-LEVEL...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
hellow wana jf, mimi ni mgen humu, nimemaliza chuo mwaka jana 2012 nimesomea digrii ya community economic development nimetuma maombi sehemu mbalimbali bila mafanikio naomben msaada wenu hata...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Mm nimehitim degree ya uhasibu mwaka 2012, hivo mpaka sasa nko tu mtaan natafuta ajira, naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata kuvolunteer tu ili nipate uzoefu.Nina upper second class pia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana kijiwe......, Please naomba kujuzwa post za koplo na kontebo zilizotolewa na wizara ya mambo ya ndani ya nchi kitengo cha uhamiaji mwezi february washaitwa kwenye intrv? Nmeuliza coz...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
JAMAN WANA JEF, MWENYE TAARIFA NI LINI WATU WATAITWA KUFANYA USAILI UHAMIAJI KWENYE VYEO VYA CONSTEBO NA KOPLO ANIJULISHE, KWA WALE WALIOTUMA MAOMBI MWEZI WA PILI.SHUKRAN!!!!!!!!!!! :A S-heart-2:
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wadau, nina diploma ya secretary and office management na uzoefu wa kutosha kwa kazi hii, nimehamia mwanza kwahiyo nahitaji kazi - 0655 361487
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mim nikijana nimemaliza diplma ya bankng and finance pale IFM, ila bdo sijapata kazi, natafut kazi, ata ya part time, nipo dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nadhani mnafahamu life mtaani bila job kwahiyo mwenye fursa namba hii 0718904969 mbeya..
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MIMI NI KIJANA WA SHAHADA YA HISTORIA (BACHELLOR OF ARTS IN HISTORY) KTK CHUO KIKUU CHA MLIMANI (UDSM) NA HITIMU MWAKA HUU JUNI 2013.MSAADA ANAYE WEZA KUNISAIDIA KUPATA TEMPO HATA YA KUFUNDISHA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya Uhasibu katika ofisi yeyote kwa temporary base,kwa kampuni yeyote yenye uhitaji tuwasiliane kwa 0782865192,nina uzoefu wa miaka 5 katika kazi hii
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa jijini kutokana na hali ya uchumi kupanda nimeamua kutangaza kwenu wanajamii forum kwa yeyote aliye na nafasi kwenye ofisi yake ambayo iko wazi asisite...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI NAWAPENI TAHADHALI KWA WENYE LINE ZA TIGO,UKIONA NUMBER INA KUBEEP NA IMEANZIA NA +88 USIJARIBU KUIPIGIA,UKIPIGA TU INAKULA PESA YAKO YOTE,YAANI BALANCE YAKO NA JAMAA WANACHUKUA AIR TIME...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
We planned to convince local people to climb Mount Kilimanjaro begging of May 2013 The aim is to promote Cultural Tourism especially in this period of low season of international tourist...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Back
Top Bottom