Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wadau wa jf, mbona pspf wako kimya, au kuna m2 mwenye info zao atupie hapa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MT EAST AFRICA Ltd tunatafuta graduates/ Form 6 leavers kwa ajili ya kufanya utafiti Tanzania. Tuma maombi pamoja na wasifu wako (CV) kwenye email midastea@gmail.com cc hearingtz@hotmail.com...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tunahitaji kumuajiri housemaid nyumbani kwetu ambako mimi na mke wangu tunao watoto wawili tu, na msichana wa kazi mmoja. Lengo kuu la professional housemaid ni kuongea na kuwafundisha watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Express Mobilization Movers Services Co. LTD ambayo ni kampuni ya usafirishaji yenye ofisi zake mikocheni Dar es salaam, tunahitaji mtu wa masoko. Qualifications: 1:Diploma au certificate ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu bingwa alikuwa Border Agency huko Stansted Airport Americano. Baada ya kupata mtoto ameamua kuacha kazi hiyo inayomuweka mbali na familia yake, sasa utamu ni nnamna alivyopresent case yake...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
SERIKALI inatarajia kuajiri watumishi wa afya 5,000 nchini, ambao wataanza kazi Mei Mosi mwaka huu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, alisema...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Natafuta sehemu ya kujitolea Kufundisha masomo ya Uchumi na Geografia, kwa malengo ya kuja kuajiliwa mwakani! MUDA NI KUANZIA MWEZI WA 7 HADI WA 10! Cont.0683257583
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo kuna graduate kaniomba nimsaidie kujaza application ya kazi TRA nikakutana na hiki kitu cha Aruti , nasikia wamenunua hii system kwa billions of money kweli inaweza kua veru nice system lakini...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Oi kama kuna watu walipiga interview mwishoni wa mwezi wa tatu morogoro nafasi ya graduate trainee Tanzania Leaf Tobacco Company, vp jamaa wameita. Mi nilipiga ya written..mwenye info adodondoke
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S shade:wakuu naomba updates kwa mwenye taarifa.:nono: walisema baada ya wiki moja watapiga simu au sms. :high5:so naona kimya tu na wiki ndo imeisha wakuu.:rockon:
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani naomba mwenye email ya tigo na zantel anisaidie.nataka kutuma Cv yangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kazi, iwe ni mining/road construction, nina experiance ya miaka 2 na pia nina license. Yeyote yule anaejua sehemu yoyote yenye nafasi hiyo ya kazi anijuze, au sehemu yoyote yenye ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Halo jf! kuna mdogo wetu amemalza 4m 4 na ana D tatu (History, Geography na Kiswahili) masomo mengine ana F. naomba kufahamu kama kuna colleges ambazo anaweza kuqualify kufanya course za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
natafuta nyumba kukodi hapa dar town aresss. ushauri nahitaji.................... nyuma zaidi ya kimoja. bei chini ya laki mbili
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani watafuta ajira wenzenu nimebaini kuwa hawa jamaa matapeli kwani hata kwenye website hawapo hakuna namba ya simu then inabidi tumuuuliza jamaa aliyetuletea tangazo hili kalitoa wapi kwan...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau leo nimesikia kwenye kipindi cha magazeti kuna kazi kibao wizara ya afya . Ila wesite yao haionyeshi chochote , hebu mwenye infor atujuze plz
0 Reactions
4 Replies
3K Views
East Coast College invites applications for the position of PR & Marketing Executive. The position is available on First-Come-First-Served basis meaning that the first suitable candidate will...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman mwenye kujua matangazo ya kazi na hawa jamaa wa VETA tujuzane coz i want to share my skill with them
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hii taasisi huwa ni ya watu fulani au ukoo fulani tu jamani? Mbona hawa wadau wamelala doro sana? Kila wanapotangaza kazi huwezi kuskia tena mchakato umeishia wap. Nachelea kusema hili...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
1;-Monitoring and evaluation officer 2;-NMSF grants coordinator Applications should be addressd to Executive chairmain Tanzania commission for AIDS P O BOX 76987 DSM Deadline 2013.05.03...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom