Kama hawajasema clearly hiyo figure ni kwa muda gani, basi ipime tu kwa namna hii:
- Kama ni kazi ya kusakata kabumbu kwenye club ya ligi kuu Ulaya kama vile uingereza, spain,Italy au hata France basi hiyo itakua USD 20-24K (USD 20,000 - 24,000)kwa wiki
- Kama ni Very Senior position kwenye International institution fulani basi hiyo ni kwa mwezi
- Kama ni junior to mid-level position kwenye shirika lisilo la kiserikali na ni nafasi designated kwa locals, basi hiyo ni kwa mwaka ndugu!